ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mtu ana akili timamu au Mwehu subiri apate cheo CCM

    Ukitaka kujua mtu ana akili timamu au Mwehu subiri apate cheo CCM
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hata Maria Sarungi Naye alitengenezaga Maigizo Ya Kujifanya Ametekwa . Watanzania Kaeni kwa Kutulia na Muwe makini sana na Maigizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti. Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji . Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Gari lenye muonekano wa Kisasa, Mafuta Kidogo, Service Kidogo, Reliable Basi Chukua Nissan Note E13 (e-Power)!

    Tuachane na Hybrids za Prius, Fit, nk. Ukitaka stress free, kagari flani ka misele ya mjini, basi ishi humu. Ni Nissan Note ya kuanzia mwaka 2021/22. Najua uzuri ni subjective, kila mtu ana vigezo vyake, ila at least tutumie neno muonekano wa Kisasa. Kwanini nasema reliable? Ukifananisha...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mtu ni mwehu apewe cheo CCM

    No comment
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka u enjoy mapenzi tafuta mwanamke jobless au aliyejiajiri

    Unataka kuichapa utasikia nipo kazini , twende vacation kazi imebana , njoo unifulie nina uchovu wa kazi .
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimejiingiza katika biashara ya vipodozi, ukitaka kipodozi chochote niambie. Makazi Zenji

    Kwema wakuu, kwa wale dadaz and mamaz mnaopenda kuglow nipo kwa ajili yenu, na wale kakaz and babaz wasafi, nipo kwa ajili yenu. Kaka zangu baba zangu tujipende inafikia hatua mkeo au mpenzi wako ana ona aibu kukutambilisha kwa rafiki zake, tubadilikw ndugu zangu tujipende, anaulizwa huyo nani...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wanawake ni wabaya kiasi gani ,angalia series ya SILO

    Kuna series moja maarufu inayotrend duniani kwa sasa inaitwa SILO , hii series imeanza kutoka 2023 mpaka sasahv inaendelea iko season 3 ambayo imetoka mwaka huu 2026. Kuna familia moja ya Black , mume anaitwa robert na mkewe camille, wote ni watu weusi. Kinachosikitisha ni kwamba mwanaume hapo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  9. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Viwanja 14 vinauzwa Msalato karibu na Uwanja wa Ndege Mpya Dodoma

    Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya. Ukivichukua vyote...
  10. PLOII

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Upate Sonona au Pressure, Kuwa Mfuatiliaji Mzuri wa Siasa za Tanzania Is Not Productive Anymore

    Umofia ndugu zangu kutoka Bongo Land ! Binafsi ilifikia Time nikahisi Ubongo una- cease kwa ubishani ambao hauna faida kwa Mwananchi wa kawaida mfano, atasimama Waziri atasema hakuna kama Mama kaleta Maji na kajenga Shule nyingi Nchini. Swali baada ya kuleta maji watu wana uhakika na upatikanaji...
  11. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sigrada: Nature ya wasema ukweli nchi hii wanateseka, ukitaka kuteseka nchi hii wewe sema ukweli

    Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

    Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani. Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata...
  13. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kugombana na hawa members wafuatao basi gusia hivi vifuatavyo

    secretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa ngara23 jaribu kuongelea vibaya kuhusu chadema Eli Cohen jaribu kuongea vibaya kuhusu israel Mshana Jr jaribu...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuivuta fedha ishushe thamani kwanza

    Hauwezi kuvuta kitu usichokiweza, ukihitaji kuiweza fedha ifanye kuwa chini ya uwezo wako. Kuza uwezo wako kwa kutafuta nguvu kubwa zaidi kuliko nguvu ya fedha. Matajiri wakubwa wanaitumia sana njia hii kwa kuhakikisha wanakuwa na nguvu kubwa kuliko nguvu ya fedha, wanapohitaji fedha huielekea...
  15. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuishi na mwanamke kwa amani, mnafikie

    Ndugu.. Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao. Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania Katambi: Ukitaka kuandamana, katoe taarifa Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amezungumzia utaratibu wa maandamano na mikusanyiko ya hadhara kwa mujibu wa Katiba na Sheria, ikiwemo wajibu wa kutoa taarifa kwa Kituo cha Polisi saa 48 kabla ya kuandamana. Akizungumza leo Julai 2, 2026, Jijini Dar es salaam, Katambi amesema...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchaguliwa serikali ya CCM onesha kuwa katiri. Simbachawene alionekana kutumia busara, hekima and the like , wakamlamba

    Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like. Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

    Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu. Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano) Hayae twende sawa; Jimmy: Mambo vipi mrembo Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa Jimmy: Niko poa tu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana, Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
Back
Top Bottom