Viwanja 14 vinauzwa Msalato karibu na Uwanja wa Ndege Mpya Dodoma

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
2,881
Reaction score
8,658
Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.

Ukivichukua vyote kwa pamoja 14 Bei Milioni 190 ila ukichukua Kimoja bei Milioni 22

Ukihitaji tuwasiliane Dm.
 
Bei ta kizalendo kabisa hata watamisemi wanamudu bila nongwa
 
Habari ,
Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano )
Ukubwa ni 331sqm
Huduma zote zipo ndani ya eneo.
Kipo Barabarani.
Kimepimwa na Survey form ipo .
Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo )
Mawasiliano 0796007039
 
Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.

Ukivichukua vyote kwa pamoja 14 Bei Milioni 190 ila ukichukua Kimoja bei Milioni 22

Ukihitaji tuwasiliane Dm.

Msalato 800sqm kwa 22m ?? Ni kupoteza mtaji mapema tu.
Msalato
 
Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.

Ukivichukua vyote kwa pamoja 14 Bei Milioni 190 ila ukichukua Kimoja bei Milioni 22

Ukihitaji tuwasiliane Dm.
Dah mkuu navihitaji vyote haraka iwezekanavyo. Pia mkuu ikiwezekana nitafutie vingine 32 kama hivyo maeneo hayohayo.

RRONDO
 
Back
Top Bottom