pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tibeli Code: Tumia muda pamoja na watu unaowapenda

    Hamjambo wote! Moja ya mambo ambayo sisi Watibeli hatunaga nayo mzaha ni muda wetu na watu tunaowapenda. Tukishakupenda utatuona kwenye matumizi ya muda wetu kwako. Mke na mumeo hakikisha muda mwingi kadiri iwezekanavyo mnatumia muda pamoja. Watoto wako. Aiseeh! Huwaga nashangaa wazazi wasio...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Urusi na Afrika

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
  5. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ndio maana mchepuko akishajua una visenti anakulazimisha mzae pamoja na ndio maana siku ya msiba wa baba yako watoto wengi hujaa siku ya mirathi

    Hamna pesa ila mnazaana kama panya buku
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Picha ya pamoja na wachezaji wa Al Nasr Club Dubai, Gustavo Alex, Felipe Motta na João Sanmarti

    MAMBO MAKUBWA YANAKUJA. HADITHI MPYA INAANZA. Picha ya pamoja na wachezaji wa Al Nasr Club Dubai; Gustavo Alex, Felipe Motta na João Sanmarti. Si kila jambo hutangazwa mapema. Mengine huachwa yajidhihirishe kwa wakati wake. Tuwe na subira, tuendelee kuwa na shauku ya maendeleo na matarajio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askari wa TANAPA 3, Askari wa TFS 6 pamoja na migambo 4 mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya watu 4 Kagera

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari wa Wanyama pori (TANAPA) watatu, askari wa Maliasili ( TFS) sita na askari Mgambo wanne kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne (04) yaliyotokea huko katika kijiji cha Kanyamika kata ya Karambi Tarafa ya Kimwani Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ni Kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita, Mtu Mzuri, Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja Naye.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ni mtu na kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita ,Mtu Mzuri ,Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja naye . Ni kiongozi ambaye amekamilika katika kila idara . Ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa huyu wakili juu ya chumo la pamoja. Mwanamke akukute umeshajenga ukiishi nae tu kwenye hiyo nyumba ni mali yenu wote!

    Huyu wakili anachochea mauaji ya wanandoa👇
  11. polokwane

    JamiiForums Tanzania Haya yanayoendelea Nchini ya mauaji,utekaji,wizi, ubadhirifu pamoja ujinga wot uliopo sasa, hata mimi ningekuwa DR.NCHIMBI lazima ningeshukia njiani.

    Ukikusanya maujinga ujinga yote yaliopo ndani ya serikali hii ya huyu mama kwa sasa ukajumlisha na ujinga wa hawa wakina makonda na machawa wenzao wanao pita pita huko kujisafisha kwa wananchi wajinga wenye uelewa mdogo, ilikuwa ngumu sana kwa mtu smart kama Dr.Nchimbi kuendelea kufanya kazi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao

    Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao. Imebaki utekaji, utishaji na uchawa. Lakini kwa Watanzania wengi wanataka demokrasia na kuweza kuchagua wawakilishi wao ba sio kuchaguliwa na wachache. Hawa wakandamizaji wanapigana vita ambayo kwa Watanzania...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Niffer Kwa Kinywa Chake Amiminaaa Sifa na Pongezi Kwa Rais Samia Na Paul Makonda Kwa Mchango Mkubwa Walioutoa Ili Kufanikisha Ushindi Wa Jihan .

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo. Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
  15. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Jihan unaonyesha watanzania wanaweza kuungana kwa pamoja kufanya jambo. Wanashindwa nini kutumia sauti hio kubwa kudai mabadiliko.

    Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa, Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa. Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja. Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona. Lakini...
  16. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania VIJANA KUIPENDA TANZANIA NI PAMOJA NA KUDAI TANZANIA YENYE HAKI

    Uzuri wa nchi haupimwi kwa mataji inayoshinda, vivutio vya utalii inavyovimiliki, wala sifa inazopata kimataifa pekee. Nchi hupimwa pia kwa namna inavyowalinda wananchi wake, inavyosimamia rasilimali zao na inavyowajibika mbele ya watu wake. Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari...
  17. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yake, hapa kuna kitu cha kujifunza

    Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amuhttps://youtu.be/585IMBb14Kg?si=ZnO8wzvvxewNUGP-a?
  18. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yake, hapa kuna cha kujifunza.

    Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amua? https://www.jamiiforums.com/attachments/3535461/
  19. B

    JamiiForums Tanzania TANZANIA na nchi za Afrika pamoja na Ghuba zatoa wito wa ulinzi imara zaidi kwa wafanyakazi wahamiaji - SADC

    08 October 2026 Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

    Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar? Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
Back
Top Bottom