Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 819
- 1,093
MAMBO MAKUBWA YANAKUJA. HADITHI MPYA INAANZA.
Picha ya pamoja na wachezaji wa Al Nasr Club Dubai; Gustavo Alex, Felipe Motta na João Sanmarti.
Si kila jambo hutangazwa mapema. Mengine huachwa yajidhihirishe kwa wakati wake.
Tuwe na subira, tuendelee kuwa na shauku ya maendeleo na matarajio makubwa ya yajayo.
HUU NI MWANZO TU. MAZURI BADO YAKO MBELE.
STAY TUNED!