Msemaji wa serikali Greyson Msigwa (Greshon) alituambia kuwa wachezaji walioletwa na wanaoendelea kuletwa na waziri wa Habari na Utamaduni, wanaletwa kwa pesa za Makonda.
Tunataka tujue hizo pesa zinatoka wapi, na pia ni halali mfanyakazi wa serikali kuleta watu wengine kwa project ya serikali...
MAMBO MAKUBWA YANAKUJA. HADITHI MPYA INAANZA.
Picha ya pamoja na wachezaji wa Al Nasr Club Dubai; Gustavo Alex, Felipe Motta na João Sanmarti.
Si kila jambo hutangazwa mapema. Mengine huachwa yajidhihirishe kwa wakati wake.
Tuwe na subira, tuendelee kuwa na shauku ya maendeleo na matarajio...
Hapo vip!
Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi.
Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
Timu ya taifa ya Eritrea jana imetoa Suluhu ya 1-1 na timu ya taifa ya Kenya,game ilikuwa tough na Eritrea ambao kimsingi kwa miaka mingi ni underdog wa Africa Mashariki walionyesha kiwango ambacho hakuna aliyetegemea ingekuwa hivyo!!
Siri ilikuwa ni moja Eritrea wametumia mfumo wa Morocco...
NAIROBI: Maandalizi ya Harambee Stars kuelekea mechi ya kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Eritrea yameingia doa baada ya wachezaji kususia mazoezi wakilalamikia kutolipwa posho na changamoto za maslahi wanapokuwa kwenye timu ya taifa.
Wachezaji waliokuwa wameingia kambini jijini Nairobi walikataa...
Nikikumbuka sakata la Ramadhani Kabwili picha inanijia kichwani kuwa huenda kweli kuna kiongozi wetu na baadhi ya wachezaji walikuwa wanamgagadua kipa wetu.
Nikiangalia vishundu vya akina Azizi funguo,Sheketure,bacca,nondo,chuga boy jinsi vilivyobinuka Sina shaka kocha wetu mpiga miti...
Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
Wakuu
Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo.
Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu
Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba...
Wenyewe mnaona katika misimu miwili iliyoisha, Ubingwa unaenda kujilikana mpaka siku ya mwisho kwa maana ya kuwa tofauti ndogo kabisa ya Point zisizodi 3 ndio huwatengenisha na Mabingwa.
Najua uamauzi wa kusajili na kuandaa timu vizuri mnalichukulia kwa Uzito ili kufanya vizuri mashindano ya...
Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya.
Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka...
Ni nadra sana kupata...
1. Lamine Yamal – mshambuliaji (FC Barcelona)
2. Pau Cubarsí – beki wa kati (FC Barcelona)
3. Gavi (Pablo Martín Páez Gavira) – kiungo (FC Barcelona)
4. Dani Olmo – kiungo mshambuliaji (aliwahi kuwa La Masia kabla ya kwenda Dinamo Zagreb)
5. Eric García – beki (aliwahi kuwa La Masia)
6...
Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 .
Baada ya Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Lionel...
Wakuu nimekutana na hili jambo huko mtandaoni, na mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu naomba mtusaidie. "Naomba kuuliza wadau,,wachezaji na wanamitindo kukaa katika maji ya barafu husaidia nini?"
Baada ya Zanzibar kufungwa 3 nunge na Uganda, ifike kipindi wawe wanachukua wachezaji wa Tngayika ili kuenzi mpira wetu na undugu wetu mzuri wa miaka kwa miaka!
Zile drama za kitoto tumezoea michezoni hazipo tena. Watu kujitia kuumia, kipa kuleta mbwembwe na mambo ya kuchelewa kurusha mipira hatujayaona WC hii. Sema wameokoa muda kisha wakaongeza mapumziko yao ya maji wapige hela!!
Hizi sheria zije huku Afrika. zitatusaidia sana.
Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo.
Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.