Kama sio Football Video Support (FVS) basi wachezaji wawili wa Simba wasingepewa redcard

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu

Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba wanaonewa sana na marefa na Yanga inabebwa hata msimu uliopita waliwaambia mashabiki hawajachukua kombe sababu ya kukandamizwa na marefa

Ila cha ajabu ni mechi mbili tu viongozi wa simba na mashabiki wa simba wameanza kuilalamikia FVS ila wafahamu huu uamuzi wa kutumia FVS inabidi wauzoee
 
Washaanza kutoa MILIO washazoea vya kunyonga vyakuchinja hawawezi.
 
Ajabu zaidi kiongozi wao analalamikia FVS badala ya kuongea na wachezaji wao, Magori aache uzamani na sukari yake kupanda, mambo yamebadilika
Yaaani, Unajua Kuna kipindi Huwa Namsikiliza Magori, then Huwa naanza kujiuliza, aliwezaje kuteuliwa kuwa Mkurugenzi CRDB.
 
Yanga saivi wanajitia watakatifu kama FVS imeletwa kwaajili ya kuikomoa simba kwa kuwa wamecheza mechi nyepesi wanajitia kama haiwahusu siku mambo yakiwa magumu mtaumbuka penati za kupewa mwaka huu hamna
 
Ligi ina mechi 30 kwa kila timu ...

Msizungumze mkamaliza,,
 
Yanga saivi wanajitia watakatifu kama FVS imeletwa kwaajili ya kuikomoa simba kwa kuwa wamecheza mechi nyepesi wanajitia kama haiwahusu siku mambo yakiwa magumu mtaumbuka penati za kupewa mwaka huu hamna
TImu iliyopanda daraja kagera sugar unasema ni ngumu kuliko namungo au coastal nadhani hauko serious

Yanga ameshakufunga kule zanzibar tarehe 12 mwezi huu na simba nayo sio timu ngumu
 
Wale watu wamepewa mnaelekezo kwambba mchezaji fulani mpeni pressure ya nguvu apigwa umeme chekii.llile tukioo la jabaar jamaa alikuwa anamsukuma sana jabaar yaani akiruka tu mshika anamvuta sasa mwamba kaona isiwe kesi kula mkono huo 😂
 
TImu iliyopanda daraja kagera sugar unasema ni ngumu kuliko namungo au coastal nadhani hauko serious

Yanga ameshakufunga kule zanzibar tarehe 12 mwezi huu na simba nayo sio timu ngumu
kila timu inambabe wake unaweza kuta timu inayomsumbua yanga lakini kwa simba ni mechi nyepesi hebu niambie nilini mechi ya costalo na yanga ikawa ngumu
 
Yanga saivi wanajitia watakatifu kama FVS imeletwa kwaajili ya kuikomoa simba kwa kuwa wamecheza mechi nyepesi wanajitia kama haiwahusu siku mambo yakiwa magumu mtaumbuka penati za kupewa mwaka huu hamna
Tena waweke akiba ya maneno Yanga nawaita mara tatu upepo hauna uwelekeo maalumu kitawaramba siyo muda mrefu Jana Baka chupuchupu,
 
mechi zao ngumu zakubebwa hazijafika saivi wanashinda vidoli vitatu wanaona kama wangeileta kitambo wamesahau kwama wanaangukaga nje ya boksi wanapewa tuta ligi inamechi 30 ndo kwanza mechi ya pili wanajiona mafundi kwa kuperform vzuri kwa costal ambayo tangu izaliwe haijawahi hata kutoa sale nao leo hii wanajiona wanakikosi bora

Mkiperfome hivyo mech 10 ndo tutaamini mpo vzuri
 
Wakati Simba wanatoa hayo malalamiko, Duchu hakuwa regular starter na Jabaar alikuwa haijulikani kama atakuja Simba.

Hakikisha andiko lako lisiwe la kusadikika
 
mechi zao ngumu zakubebwa hazijafika saivi wanashinda vidoli vitatu wanaona kama wangeileta kitambo wamesahau kwama wanaangukaga nje ya boksi wanapewa tuta ligi inamechi 30 ndo kwanza mechi ya pili wanajiona mafundi kwa kuperform vzuri kwa costal ambayo tangu izaliwe haijawahi hata kutoa sale nao leo hii wanajiona wanakikosi bora

Mkiperfome hivyo mech 10 ndo tutaamini mpo vzuri
Kagera sugar ni wagumu kuliko namungo
Yanga amemfunga simba tarehe 12 hizo mechi ngumu ni zipi
 
hapo mech ngumu ni ya simba tu angalia recod ya yanga na namungo majibu utakuwa nazo mwenyewe na rekodi za

Simba na kagera mala nyingi simba hupata matokeo kwa mbinde kwa kagera
 
Yanga saivi wanajitia watakatifu kama FVS imeletwa kwaajili ya kuikomoa simba kwa kuwa wamecheza mechi nyepesi wanajitia kama haiwahusu siku mambo yakiwa magumu mtaumbuka penati za kupewa mwaka huu hamna
Mechi ngumu ni Simba Vs Kagera?
 
Back
Top Bottom