Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,327
- 4,374
Yanga kacheza na simba ngao ya jamii na kambutua simba na FVS ikiwepoLigi ina mechi 30 kwa kila timu ...
Msizungumze mkamaliza,,
Mechi ngumu tena ni ipi 🤣🤣🤣 na azam siyo 🤣🤣
Yanga kacheza na simba ngao ya jamii na kambutua simba na FVS ikiwepoLigi ina mechi 30 kwa kila timu ...
Msizungumze mkamaliza,,
Ni CRDB au NSSF
Tanzania tunawatu wengi kama magori ni viongozi kwenye sehemu tofauti-tofauti ni majanga
Sure NSSF....!Ni CRDB au NSSF