FIFA wamejitahidi kudhibiti upotevu wa muda. Wachezaji wamebadilika sana.

FIFA wamejitahidi kudhibiti upotevu wa muda. Wachezaji wamebadilika sana.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Zile drama za kitoto tumezoea michezoni hazipo tena. Watu kujitia kuumia, kipa kuleta mbwembwe na mambo ya kuchelewa kurusha mipira hatujayaona WC hii. Sema wameokoa muda kisha wakaongeza mapumziko yao ya maji wapige hela!!
Hizi sheria zije huku Afrika. zitatusaidia sana.
 
France vs senegal, mpira haukusimama kabisa lakini mpira ulichezwa dakika 100+ Cha ajabu hakuna yellow card hata moja.

Argentina vs Algeria hakuna yellow card hata moja.
German vs Curacao hakuna yellow card hata moja........
Yaani referees wanafanya mambo ya ajabu kweli.
Yaani kazi ni kuminya ridhiki za wenzao tu.
 
Back
Top Bottom