muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA yasema inatekeleza maboresho maalum ya muda wa dharura kwa wakazi wa Busega

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa maelezo kuwa "Wakazi wa eneo la Busenga wanahudumiwa kutoka vyanzo tofauti, wapo wanaopata huduma kwa uhakika na wapo ambao tunafahamu ipo changamoto ya kutofikiwa na huduma kikamilifu. "Mamlaka tayari imepanga kutekeleza...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NECTA imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba Mwaka 2026

    https://www.youtube.com/live/fgScnH9W6rA TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) ULIOFANYIKA SEPTEMBA, 2026 UTANGULIZI Katika Mkutano wake wa 173 uliofanyika tarehe 02 Novemba, 2026 katika ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania zilizopo Dar es Salaam, Baraza la...
  3. 100 others

    JamiiForums Tanzania Milipuko imesikika kusini mwa Iran muda mchache uliopita.

    Milipuko mitano imeripotiwa katika Kisiwa cha Qeshm nchini Iran, huku wakazi wakisema pia waliona ndege mbili zikipaa angani. Mamlaka za Iran bado hazijatoa maoni yoyote kuhusu taarifa hizo. Milipuko mingine imeripotiwa pia karibu na mji wa Bandar Lengeh, ulio karibu na Mlango-bahari wa Hormuz...
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana Acha Upuuzi wa Kupoteza Muda, Amka Upige Pesa!

    wanangu, hebu tusidanganyane hapa mtaani. Maisha ya sasa hayana pause wala rewatch, yanakwenda mbio kuliko sana. Unajikuta kijana unakomaa kutwa nzima kwenye vijiwe vya kahawa unajadili mipango ya mpira au unapoteza data kusubiri miujiza kwenye mitandao ya kijamii wakati mfuko wako unasoma zero...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini single Mothers huwa wana mahasira muda wote?

    Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi. Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Changamoto ya wizi Hospitali ya Rufaa Simiyu (Simiyu RRH) ipo muda mrefu, ishughulikiwe vizuri

    Mimi ni mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), niliajiriwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa muda ambao nimefanya kazi katika hospitali hii, nimekuwa nikishuhudia changamoto nyingi, ikiwemo tuhuma za wizi na upotevu wa mali na fedha za hospitali. Pia soma ~ RC Mtanda awapa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tibeli Code: Tumia muda pamoja na watu unaowapenda

    Hamjambo wote! Moja ya mambo ambayo sisi Watibeli hatunaga nayo mzaha ni muda wetu na watu tunaowapenda. Tukishakupenda utatuona kwenye matumizi ya muda wetu kwako. Mke na mumeo hakikisha muda mwingi kadiri iwezekanavyo mnatumia muda pamoja. Watoto wako. Aiseeh! Huwaga nashangaa wazazi wasio...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Zelesky aendelea kupoteza muda

    Chanzo cha picha,Getty Images Marekani imeidhinisha uuzaji wa makombora 500 aina ya Patriot kwa Ukraine, ambazo ni silaha muhimu za kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ya Urusi. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, ameonya kuwa huenda ikachukua "miaka kadhaa" kabla ya makombora hayo kufika...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDART mnawaza nini? Abiria tunateseka na kuingia hasara kwa kusubiria Mwendokasi muda mrefu

    Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) inayotoa huduma za usafiri wa umma kupitia barabara ya Morogoro Road, kuanzia Mbezi Luis na kituo kikuu cha Kimara kuelekea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, ikiwemo Kariakoo (Gerezani) na Kivukoni, imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro ni mbovu unasababisha Watu wanaganda kwenye foleni

    Nina kero kuhusu utaratibu wa ukataji wa tiketi kwa magari katika Stendi ya Jakaya Kikwete, mkoani Morogoro. Utaratibu uliopo si mzuri kwa sababu tunatumia muda mrefu kwenye foleni kusubiri kukata tiketi ili magari yaweze kutoka nje ya stendi. Changamoto hii inahusu magari yanayoleta na...
  11. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Muda wa Kuchelewa Kurekebisha Mambo

    Inaonekana Nzena amepoteza imani kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba hawataki tena kwenda pale. Baada ya kupewa boosters za kutosha, sasa tunaelekea kwa Wagogo kutafuta proper treatment, huku tukiendelea kupewa boosters ili angalau tuonekane kwenye sherehe na kuonyesha kwamba mambo yako sawa...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa Lema kufukuzwa CHADEMA baada ya Kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kumtaja rasmi kama msaliti

    Ninampongeza kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kwa kumtaja rasmi Godbless Lema kama msaliti wa harakati zao. Hii imetokea baada ya Lema kutamka jukwaani kuwa CHADEMA hakitafanya fujo wala kumwaga damu kitu ambacho ni kinyume kabisa na msimamo wa chama chake. Mimi siungi mkono vurugu wala...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Madeni ya muda mrefu yadaiwa kuhusishwa na kutekwa kwa Twaha Mwaipaya Kenya

    NAIROBI, KENYA — Madai kuhusu madeni ya muda mrefu yameibuka kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Twaha Mwaipaya, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Tanzania, nchini Kenya. Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa, Mwaipaya alikamatwa na mwenye nyumba aliyokuwa akiishi kwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kadogosa amwambia Mkandarasi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT - Kakola kuwa hataongezewa muda, mradi ukamilike Desemba 2026

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT–Kakola yenye urefu wa kilomita 73, kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ifikapo Desemba 2026, kama ilivyoainishwa katika mkataba wa mradi huo. Kadogosa ametoa...
  15. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Simba kufikwa na Msiba. CV ya Steve Barker inajadiliwa muda huu maamuzi kufanyika

    Kunazidi kunoga. Kikao kinajadili CV ya Steve Barker kocha aliyepo Simba kwa Mkopo. Maana Yanga wakiamua ni suala la kugusa tu anakuja Yanga. Ndo maana kila kilichopo Simba sisi Yanga huwa tunaita kipo kwa Mkopo. Hata Mo Dewj tukimwitaji tunamchukua tu. Hii ni team ya Nchi. Yeye mwenyewe mara...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Njaa duniani inahitaji suluhisho la muda mrefu

    DKT. MWIGULU: NJAA DUNIANI INAHITAJI SULUHISHO LA MUDA MREFU Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema mapambano dhidi ya njaa yanahitaji uwekezaji wa muda mrefu katika kilimo endelevu, maendeleo ya vijijini na mifumo imara ya chakula, sambamba na misaada ya dharura. Amesema hayo Oktoba 22...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya kifedha ya muda mrefu yanaweza kuathiri ubongo - Utafiti

    BBC Swahili Unafungua simu yako asubuhi na kukuta ujumbe wa deni, huku kodi ya nyumba ikikaribia, ada za watoto zinasubiri na gharama za chakula zinaendelea kupanda. Badala ya kuanza siku ukiwa na utulivu, mawazo yanatawaliwa na swali moja, nitatoa wapi fedha? Kwa Watu wengi barani Afrika...
  18. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

    please Moderator hii imejirudi delete
  19. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

    GSM mara ya mwisho umetupa supu chapati ni lini? Huoni kama hili linasababisha wanayanga tukose morali wa kushangilia team na kujaa uwanjani? Nadhani unapaswa kujiangalia katika hilo. Andaa shughuli watu tupige supu na chapati angalau mbilimbili roho zetu zitulie. Tuwe na morali na mapenzi kwa...
  20. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Chief Mangungu wa Simba ndo muda wake huu sasa

    Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza? Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.
Back
Top Bottom