GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
GSM mara ya mwisho umetupa supu chapati ni lini? Huoni kama hili linasababisha wanayanga tukose morali wa kushangilia team na kujaa uwanjani? Nadhani unapaswa kujiangalia katika hilo.

Andaa shughuli watu tupige supu na chapati angalau mbilimbili roho zetu zitulie. Tuwe na morali na mapenzi kwa team. hilo ni moja ya tukio ambalo linatufanya wana yanga tuwe wakipekee kabisa na huwa unaona matokeo yake

Match na mikia tulikushauri tupatiwe supu chapati. Tulisema waangushwe ngombe kadhaa na kusindikizwa na kifo cha mzee wetu kipendi ili kuhitimisha. Ukaleta dharau ndo matokeo yake mikia wakashinda. Sasa nakushauri wahi tujenge team. Na tunataka achaguliwe mzee wa kushika nafasi ya mzee Mlipili.

Tunasubiri Supu Chapati.
 
GSM tufanyie sherehe bhana
 
Ila number Jana ilikuwa kubwa kuliko ya libase fc ambao walishindwa kujitokeza kwa wingi
 
Usipende vya bure utakuta kukatwa gogo kama unataka supu kanunue mbuzi wako uchinje ule na familia/uko wako
 
Ila number Jana ilikuwa kubwa kuliko ya libase fc ambao walishindwa kujitokeza kwa wingi
Sasa kama wale ma Agosto walikua wanaringa hawataki mashabiki?watu walishapanga hawaendi uwanjani.. Matajiri wakaweka mibig screen sehemu mbili... watu wakajaa na ule mjua wa saa tisa...chezea? Subiri jumapili
 
Back
Top Bottom