wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania BARUTI ZINAZOPIGWA NYAMAZOBE-NYEGEZI NI KERO KWA WANANCHI

    Ndugu zangu kwa watu wanaiishi mitaa ya Nyamazobe center kuna milipuko mikali inasikika kila siku, milipuko hiii inafanyika kwenye makazi ya watu, tunaomba mamlaka zitusaidie watakuja kutuua kwa presha
  2. R

    JamiiForums Tanzania India: Wananchi waendelea kuandamana wakitaka Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ajiuzulu

    Vyama vya upinzani nchini India vimeendelea kutoa wito wa kutaka Mkuu wa Tume ya Uchaguzi wa nchi hiyo ajiuzulu, baada ya kuandaa maandamano mapya siku ya Jumapili Novemba 1, 2026. Maandamano hayo ni sehemu ya kuonyesha kutoridhishwa na serikali ya Waziri Mkuu Narendra Modi. Maandamano hayo...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania SYSTEM IMEZINGUA: Taifa limekuwa la 'Flex' za Viongozi, wakati Wananchi wanataabika!

    Hebu tuangalie ukweli uliopo mitaani bila kuogopa mtu. Taifa letu limefika mahali ambapo viongozi wetu wamegeuza nchi kuwa shamba la bibi, wanajiamulia mambo yao wanavyotaka wao na hawana habari kabisa na maisha magumu ya wananchi wa chini. Watu wanakufa na njaa, vijana wanazunguka mtaani hawana...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kizaazaa Nairobi: Polisi wa Trafiki akabiliwa na Wananchi wenye hasira baada ya kunyakua Funguo za Basi likiwa kwenye kasi

    Mtaa wa Mirema ulibadilika na kuwa uwanja wa taharuki na hasira kali baada ya tukio la kushtua ambapo afisa wa polisi wa trafiki alinaswa kwenye video akidaiwa kunyakua funguo za basi la abiria (PSV) wakati likiwa bado linaendelea na safari. Kitendo hiki cha hatari kilihatarisha maisha ya abiria...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza...
  6. T

    JamiiForums Tanzania GODBLESS LEMA AMETUPA CODE: BILA MAANDAMANO YA WANANCHI TUTASUBIRI SANA

    Mheshimiwa Lema umeongea vizuri sana. Na upetupa code. Bila maandamano ya wananchi hakuna ushindi. Sasa ni sisi wananchi kujipanga
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwakani 2027 kumbukumbu za mauaji ya watanzania (mauaji ya kimbari) zinapaswa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa. Wananchi tuweke mkakati.

    Hakuna haja ya kusubiri watuhumiwa wajadiliane namna ya kukumbuka marehemu wetu. We are the nation.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kiburi na jeuri ya Chama Dola sio vyombo vya Dola kama wanavyodai ni mali Yao Bali ni Kodi na tozo za wananchi maskini wanazikusanya

    Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani why wananchi hawakuhudhuria ibada iliyohamasishwa sana na miongoni mwa madhehebu ya dini yanayosemekana kuchochea sana ghasia za Oct 2025?

    Sote ni mashahidi, kwamba licha ya kuhamasishwa sana kuhudhuria ibada ya kinafiki na miongoni mwa madhehebu ya dini ambayo yanasemekana kua miongoni mwa wachochezi wakuu wa ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025, Wananchi na waTanzania wote walipuuza wito huo na wakaendelea kutimiza...
  10. bless on

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi inayojali zaidi wananchi wake

    Unapozungumzia nchi zinazowajali raia wao kuliko zote duniani, jibu linategemea kabisa swali moja la msingi: Je, unatafuta utajiri wa mali za kifahari kwa wachache, au unatafuta mfumo wa haki na usalama kwa kila mwanadamu? Kabla ya kukimbilia nchi za Ulaya Kaskazini, hebu tuangalie mfano wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Utawala ni dhamana unayopewa na wananchi na lazima uwasikilize wananchi

    Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Padri Charles Kitima amewakumbusha viongozi na wananchi kuwa utawala wa kisiasa ni dhamana inayotoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Amesisitiza kuwa viongozi...
  12. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki ya wananchi wa Mtaa wa Somanda wakidaiwa kuvamia eneo la kujenga josho, hofu ni kubomolewa makazi yao

    Wananchi wa Mtaa wa Somanda, mjini Bariadi wameingia katika mvutano na maafisa wa ardhi waliofika eneo hilo kutoa ufafanuzi kuhusu mipaka ya maeneo hayo, kufuatia hofu ya kupoteza makazi yao. Hofu hiyo imeibuka baada ya kusambaa kwa taarifa kwamba baadhi ya wananchi hao wanaweza kuondolewa...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Songea: ujenzi wa chuo cha IAA wafikia 77%, wananchi watoa pongezi kwa rais samia

    Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Tawi la Songea, umefikia asilimia 77. Chuo hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 4,500 kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza fursa za elimu ya juu, kukuza ujuzi na kuchochea shughuli za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

    please Moderator hii imejirudi delete
  17. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

    GSM mara ya mwisho umetupa supu chapati ni lini? Huoni kama hili linasababisha wanayanga tukose morali wa kushangilia team na kujaa uwanjani? Nadhani unapaswa kujiangalia katika hilo. Andaa shughuli watu tupige supu na chapati angalau mbilimbili roho zetu zitulie. Tuwe na morali na mapenzi kwa...
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania WIZARA YA ARDHI YATEKELEZA OMBI LA WANANCHI WA BAGAMOYO KUONESHWA MIPAKA YA MAENEO YAO

    BAGAMOYO, PWANI Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo tarehe 21 Oktoba 2026, imetekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo, mkoani Pwani, la kuoneshwa mipaka ya maeneo yao yaliyopo katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanzale, wilayani humo. Akisimamia na kuelekeza utekelezaji wa zoezi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Habari za wananchi kuwandunda Polisi zimeanza kuota mizizi

    Ni mwendo wa kuwadunda tu👇
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
Back
Top Bottom