Kiburi na jeuri ya Chama Dola sio vyombo vya Dola kama wanavyodai ni mali Yao Bali ni Kodi na tozo za wananchi maskini wanazikusanya

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
4,675
Reaction score
6,428
Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini

Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini

Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi

Watawala waovu wanachoweza kufanya ni kuwafanya wananchi wasitambue hiyo nguvu na huo uwezo walionao .

Ni Kila atakayejaribu kueleza ukweli hawezi kuwa salama kwenye utawala wa waovu

Kwa wale wajinga wasiojua umuhimu wa katiba mpya watambue sasa

Lengo la kudai katiba mpya sio kutetea chadema Act au ccm ishinde au ishindee bali ni kuwarudishia wananchi nguvu na uwezo wao wa kiamamuzi

Katiba mpya itawanyanganya watawala MAMLAKA ya kuwa mabosi wakatili na kuwafanya kuwa watumishi na watumwa wa wananchi

Wananchi ndio wanaolipa mishahara ya viongozi marupu rupu Yao yote Hadi wenzi wao Hadi watakapofia kwenye ukwasi na kizazi chao kuanzia rais Hadi mtendaji wa Kijiji.

Hivyo wananchi ndo mabosi wa watawala
 
Hilo linajulikana. tatizo lako nini? Tuiache Cdm isakamwe, twende kwenye katiba mpya? Umoja ni nguvu
 
Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini

Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini

Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi

Watawala waovu wanachoweza kufanya ni kuwafanya wananchi wasitambue hiyo nguvu na huo uwezo walionao .

Ni Kila atakayejaribu kueleza ukweli hawezi kuwa salama kwenye utawala wa waovu

Kwa wale wajinga wasiojua umuhimu wa katiba mpya watambue sasa

Lengo la kudai katiba mpya sio kutetea chadema Act au ccm ishinde au ishindee bali ni kuwarudishia wananchi nguvu na uwezo wao wa kiamamuzi

Katiba mpya itawanyanganya watawala MAMLAKA ya kuwa mabosi wakatili na kuwafanya kuwa watumishi na watumwa wa wananchi

Wananchi ndio wanaolipa mishahara ya viongozi marupu rupu Yao yote Hadi wenzi wao Hadi watakapofia kwenye ukwasi na kizazi chao kuanzia rais Hadi mtendaji wa Kijiji.

Hivyo wananchi ndo mabosi wa watawala
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Tuliambiwa na Greshoni Msigwa kuwa Makonda ndiye aliyemleta mchezaji RIO kwa pesa zake, Makonda ana biashara gani hadi awalipie mabilioni ya shillingi hawo anaowaleta?
 
Wananchi wakitambua wao ndo wanawalipa vyombo vya Dola mishahara watajua nguvu yao
 
Back
Top Bottom