The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.
Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini
Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini
Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi
Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
Picha: Alama ya utawala wa sheria na kimbilio la mwisho la raia pale haki inapominywa
Hatua ya Mahakama Kuu ya Kenya kutoa amri ya Habeas Corpus dhidi ya Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi, ikitaka mwanaharakati Twaha Mwaipaya afikishwe mahakamani tarehe 2 Novemba 2026 akiwa hai au mauti, ni...
Rais Mwingine wa Division ya Waadventista Apoteza Nafasi Yake Katika Kashfa ya Kifedha Inayodaiwa ya Dola Milioni 63
Rais mwingine wa Division ya Waadventista anapoteza nafasi yake huku kukiwa na taarifa za kashfa ya kifedha inayodaiwa kuhusisha dola za Marekani milioni 63. Mchungaji Soon Gi...
Kwa jinsi pesa zinavyotoka na zinachotwa serikalini ili kujisafisha na kulazimisha kuwa yajatokea mnapata ujasiri gani.
Mfano leo mnachoma mafuta ,mnajaza askari na wanajeshi kila mkisikia wasi wasi.
Jambo lengine kulazimisha wasanii wawasifu,kujaza watu mitandao ya kijamii kujisafisha.
Yetu...
Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Hamjambo!
Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo.
Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
Nianze na ku appreciate kazi, uzalendo na weledi mkubwa wa vyombo vyetu vya Dola katika kulinda ustawi wa Taifa letu kwa kuzingatia Sheria na maadili ya Taifa letu la Tanzania.
Ni kipindi pekee ambacho TLS Imekosa heshima Mbele ya umma watu wanashindwa kutofautisha kati ya shughuli za TLS na...
Hebu sikiliza sababu zinazotolewa kwanini chadema ipewe nafasi ya kuiongoza nchi. Eti mkoloni ni bora kuliko Nyerere na Magufuli n Samia.
https://youtu.be/v_NMqvJKnkI?si=6HyhDA0-hWFRnzcS
Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na...
Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kumpata Zhang Yu.
Zhang Yu anatuhumiwa kufanya kazi kwa niaba ya Wizara ya Usalama wa Taifa ya...
Mwaka 1902, mji wa Hanoi nchini Vietnam ulishuhudia moja kati ya mipango ya kijinga, ya kuchekesha, na iliyoacha kovu la aibu katika historia ya ukoloni wa Ufaransa—jaribio la kutokomeza panya kwa kuwalipa wananchi kwa kila mkia wa panya walioleta! 🐀💥🇫🇷🇻🇳
Kisa hiki kilianza wakati wakoloni wa...
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.
Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.
Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake.
Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.