Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake.

Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati mbaya Rais lazima atokane na chama cha siasa, na kwasasa serikali iliyopo ni serikali ya CCM. Sasa kama A ni sawasawa na B, na B ni sawasawa C, kwanini A isiwe sawasawa na C?. Sio CCM tu bali hata ACT kama itakuwa madarakani vyombo hivi vinageuka vya kwake, inaweza kuvituma vikapigane kokote.

Hivyo vyombo vya dola vyote vitahamia kuitumikia serikali ya chama kitakachotawala kwa wakati husika. Hata huko nchi za Magharibi hakuna Rais wa chama kilichoshinda uchaguzi akateua mawaziri kutoka chama kilichoshindwa uchaguzi, labda iwe kwa sababu maalumu na kwa mtu maalumu. Rais hawezi kuchagua mkuu wa majeshi ambae ni mtiifu wa chama kilichoshindwa uchaguzi.

Hii ni kuonyesha kuwa CCM ina hazina kubwa ya watu makini sana kuliko upinzani. Haishangazi kuona wanaoachwa na CCM kupewa nafasi namba moja ya kuwa wagombea kwenye vyama vya upinzani.

View: https://youtu.be/Ikq6Rxnmm1Q?si=fiEqGzGJViw95RRN
 
Na wewe ni dwanzi tu..

Na haina shaka yoyote kuwa huelewi hata maana ya "serikali.."

Serikali daima ni chombo cha kuhudumia wananchi wote...

Wote (watu) wanaounda serikali, kuanzia Rais hadi chini huku kwa mtendaji wa mtaa na mwalimu au nesi, hawapaswi kujinasibisha kwa chama chochote katika utendaji wao

Serikali daima haifungamani na chama Cha siasa chochote...

Chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza serikali, kinachopaswa kufanya ni kutoa mipango yake ya kisera ili serikali isimamie utekelezaji wake..

Ni ujinga na ni upotovu mkubwa kudai vyombo vya dola Kwa maana ya polisi, majeshi, TISS, mgambo, mahakama (mahakimu na majaji) nk kuwa ni "mali ya CCM"

Hii sio kweli. Vyombo hivi vyote vinapaswa kutofungamana na chama chochote cha siasa..

Vyombo hivi kazi yake ni kusimamia sheria na miongozo isiyo ya kibaguzi kwa ajili ya kuhudumia watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa au dini; rangi au jinsia..

Paul Chacha ni mjinga, mbumbumbu na alidhani anakipaisha CCM lakini ukweli ni kuwa kwa kauli yake ile, amekivua nguo na kuonesha kuwa kumbe chama hicho kina viongozi waropokaji wasiopima athari ya maneno yao kabla hawajayasema...!!

View: https://youtu.be/kOezFb1ZnNE?is=UTbScTp67c5FRWuC
Na huyu eti alikuwa Mkuu wa Mkoa..
 
Hapa noo
 
wengi hawaelewi maana ya "winner takes all" kwenye katiba ya Tanzania na katiba nyingi duniani kote hasa kwenye nchi zenye mfumo wa demokrasia ya vyama vingi 🐒
 
Wewe umejivuruga kabisa, Raisi sio wa chama, Raisi ni wa watu wote
Jwtz linaitwa jeshi la wananchi sio jeshi la CCM,
 
Na wewe ni dwanzi tu..

Na haina shaka yoyote kuwa huelewi hata maana ya "serikali.."

Serikali daima ni chombo cha kuhudumia wananchi wote...

Wote (watu) wanaounda serikali, kuanzia Rais hadi chini huku kwa mtendaji wa mtaa na mwalimu au nesi, hawapaswi kujinasibisha kwa chama chochote katika utendaji wao

Serikali daima haifungamani na chama Cha siasa chochote...

Chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza serikali, kinachopaswa kufanya ni kutoa mipango yake ya kisera ili serikali isimamie utekelezaji wake..

Ni ujinga na ni upotovu mkubwa kudai vyombo vya dola Kwa maana ya polisi, majeshi, TISS, mgambo, mahakama (mahakimu na majaji) nk kuwa ni "mali ya CCM"

Hii sio kweli. Vyombo hivi vyote vinapaswa kutofungamana na chama chochote cha siasa..

Vyombo hivi kazi yake ni kusimamia sheria na miongozo isiyo ya kibaguzi kwa ajili ya kuhudumia watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa au dini; rangi au jinsia..

Paul Chacha ni mjinga, mbumbumbu na alidhani anakipaisha CCM lakini ukweli ni kuwa kwa kauli yake ile, amekivua nguo na kuonesha kuwa kumbe chama hicho kina viongozi waropokaji wasiopima athari ya maneno yao kabla hawajayasema...!!

Na huyu eti alikuwa Mkuu wa Mkoa..
Na wewe unahitaji ukarabati mkubwa. Wewe hujui kuwa watumishi woooote na vyombo vya dola huwa wafanyakazi zao kuitekeleza ilani ya CCM?
 
Na wewe ni dwanzi tu..

Na haina shaka yoyote kuwa huelewi hata maana ya "serikali.."

Serikali daima ni chombo cha kuhudumia wananchi wote...

Wote (watu) wanaounda serikali, kuanzia Rais hadi chini huku kwa mtendaji wa mtaa na mwalimu au nesi, hawapaswi kujinasibisha kwa chama chochote katika utendaji wao

Serikali daima haifungamani na chama Cha siasa chochote...

Chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza serikali, kinachopaswa kufanya ni kutoa mipango yake ya kisera ili serikali isimamie utekelezaji wake..

Ni ujinga na ni upotovu mkubwa kudai vyombo vya dola Kwa maana ya polisi, majeshi, TISS, mgambo, mahakama (mahakimu na majaji) nk kuwa ni "mali ya CCM"

Hii sio kweli. Vyombo hivi vyote vinapaswa kutofungamana na chama chochote cha siasa..

Vyombo hivi kazi yake ni kusimamia sheria na miongozo isiyo ya kibaguzi kwa ajili ya kuhudumia watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa au dini; rangi au jinsia..

Paul Chacha ni mjinga, mbumbumbu na alidhani anakipaisha CCM lakini ukweli ni kuwa kwa kauli yake ile, amekivua nguo na kuonesha kuwa kumbe chama hicho kina viongozi waropokaji wasiopima athari ya maneno yao kabla hawajayasema...!!

View: https://youtu.be/kOezFb1ZnNE?is=UTbScTp67c5FRWuC
Na huyu eti alikuwa Mkuu wa Mkoa..

Badala ya t tumia n
 
Umekaririshwa mambo sijui na nani; elimu yetu huenda kweli haina mambo muhimu. Trump alitumia vyombo vilevile vya dola kuwafukuza wahamiaji waondoke marekani. Kwani hao polisi na majeshi walikuwa hawawaoni hao wahamiaji haramu wakati wa Biden?. Trump alimfukuza mwanasheria mkuu na mwendesha mashitaka wa wakati wa Biden akaweka wa kwake, akaondoa mkuu wa majeshi akaweka wa kwake, nk, unajua kwanini? maana yake Republicans lazima wawe na uthibiti wa vyombo vya dola ili kufanikisha mambo yao waliyoahidi wananchi.
 
Kwa hiyo 29/10 vilikuwa vinatimiza matakwa ya CCM?
Kwahiyo ungetamani uone yameacha serikali ya CCM imepinduliwa? Oct29 lilikuwa ni jaribio la mapinduzi ambalo lilizimwa na majeshi tiifu kwa serikali ya CCM kwa mujibu wa Katiba walioapa kuilinda. Yaani majeshi yaanchane kuilinda serikali yalinde vibaka.
 
Na wewe ni dwanzi tu..

Na haina shaka yoyote kuwa huelewi hata maana ya "serikali.."

Serikali daima ni chombo cha kuhudumia wananchi wote...

Wote (watu) wanaounda serikali, kuanzia Rais hadi chini huku kwa mtendaji wa mtaa na mwalimu au nesi, hawapaswi kujinasibisha kwa chama chochote katika utendaji wao

Serikali daima haifungamani na chama Cha siasa chochote...

Chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza serikali, kinachopaswa kufanya ni kutoa mipango yake ya kisera ili serikali isimamie utekelezaji wake..

Ni ujinga na ni upotovu mkubwa kudai vyombo vya dola Kwa maana ya polisi, majeshi, TISS, mgambo, mahakama (mahakimu na majaji) nk kuwa ni "mali ya CCM"

Hii sio kweli. Vyombo hivi vyote vinapaswa kutofungamana na chama chochote cha siasa..

Vyombo hivi kazi yake ni kusimamia sheria na miongozo isiyo ya kibaguzi kwa ajili ya kuhudumia watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa au dini; rangi au jinsia..

Paul Chacha ni mjinga, mbumbumbu na alidhani anakipaisha CCM lakini ukweli ni kuwa kwa kauli yake ile, amekivua nguo na kuonesha kuwa kumbe chama hicho kina viongozi waropokaji wasiopima athari ya maneno yao kabla hawajayasema...!!

View: https://youtu.be/kOezFb1ZnNE?is=UTbScTp67c5FRWuC
Na huyu eti alikuwa Mkuu wa Mkoa..

Huyu kama alikua mkuu wa mkoa basi kuna shida sehemu
 
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake.

Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati mbaya Rais lazima atokane na chama cha siasa, na kwasasa serikali iliyopo ni serikali ya CCM. Sasa kama A ni sawasawa na B, na B ni sawasawa C, kwanini A isiwe sawasawa na C?. Sio CCM tu bali hata ACT kama itakuwa madarakani vyombo hivi vinageuka vya kwake, inaweza kuvituma vikapigane kokote.

Hivyo vyombo vya dola vyote vitahamia kuitumikia serikali ya chama kitakachotawala kwa wakati husika. Hata huko nchi za Magharibi hakuna Rais wa chama kilichoshinda uchaguzi akateua mawaziri kutoka chama kilichoshindwa uchaguzi, labda iwe kwa sababu maalumu na kwa mtu maalumu. Rais hawezi kuchagua mkuu wa majeshi ambae ni mtiifu wa chama kilichoshindwa uchaguzi.

Hii ni kuonyesha kuwa CCM ina hazina kubwa ya watu makini sana kuliko upinzani. Haishangazi kuona wanaoachwa na CCM kupewa nafasi namba moja ya kuwa wagombea kwenye vyama vya upinzani.

View: https://youtu.be/Ikq6Rxnmm1Q?si=fiEqGzGJViw95RRN

Rais yupi huyo na aliye chaguliwa na nani ? Vyombo vya dola kumlinda Rais aliye chaguliwa na wananchi ni sahihi ila siyo kumlinda muhuni anaye ua raia na kujimilikisha urais
 
Kwamba CCM au uyo Chacha ameshindwa kabisa kutofautisha kati ya kutumia vyombo vya usalama na kumiliki vyombo vya usalama.
 
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake.

Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati mbaya Rais lazima atokane na chama cha siasa, na kwasasa serikali iliyopo ni serikali ya CCM. Sasa kama A ni sawasawa na B, na B ni sawasawa C, kwanini A isiwe sawasawa na C?. Sio CCM tu bali hata ACT kama itakuwa madarakani vyombo hivi vinageuka vya kwake, inaweza kuvituma vikapigane kokote.

Hivyo vyombo vya dola vyote vitahamia kuitumikia serikali ya chama kitakachotawala kwa wakati husika. Hata huko nchi za Magharibi hakuna Rais wa chama kilichoshinda uchaguzi akateua mawaziri kutoka chama kilichoshindwa uchaguzi, labda iwe kwa sababu maalumu na kwa mtu maalumu. Rais hawezi kuchagua mkuu wa majeshi ambae ni mtiifu wa chama kilichoshindwa uchaguzi.

Hii ni kuonyesha kuwa CCM ina hazina kubwa ya watu makini sana kuliko upinzani. Haishangazi kuona wanaoachwa na CCM kupewa nafasi namba moja ya kuwa wagombea kwenye vyama vya upinzani.

View: https://youtu.be/Ikq6Rxnmm1Q?si=fiEqGzGJViw95RRN

Uko sahihi kabisa! Hoja ni hao vijana wafanya siasa uchwara hasa Chadema wanaelewa?
 
Viheshima KATIBA YA NCHI, Siyo kuvunja KATIBA YA NCHI
 
Kutii na kumilikiwa ni vitu viwili tofauti.
 
Kutii serikali sio kosa. Sasa vinatakiwa kujitathimini, vinapo teka, kuua na kunyanyasa wananchi havifanyi wajibu wao vizuri kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom