lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii Simba SC hata ukitangulia goal 4 lazima upigwe TU kila GoTi litapigwa 😁

    Simba Bingwa 😀
  2. S

    JamiiForums Tanzania Anaweza kuwa alikuwa na nia nzuri, lakini lazima Lema atambue kwamba yuko "naive" na alichokuwa akifanya ni "presumptuousness" na "insubordination"

    Nina maneno matatu tu kwa Lema, kwa yote yaliyotokea; amekuwa naive, presumptuous na insubordinate Nimeshindwa kupata maneno ya Kiswahili ya kum-define Lema kwa yale aliyofanya, lakini kwa wale wanaojua lugha ya malkia Lema amekuwa naive, presumptuous na insubordinate. Labda neno la Kiswahili...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lema ni wakala wa wauaji lazima akataliwe na kukemewa

    Ndoo ujumbe wa Leo
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tambua kama mwanaume kila msimamo utakaochukua lazima ukugharimu na hakuna namna ya kukwepa hili katika kutengeneza familia na ufalme.

    Swali ni unaweza kubeba na kubembeleza consquences za maamuzi yako au utasukumia kwa wengine kinamna.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi MKALABOKO: Simba Sc ni sawa na Muhasibu wa kikoba ,akifika wakati wa marejesho lazima pesa mumpe yeye.

    Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto. https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
  7. polokwane

    JamiiForums Tanzania Haya yanayoendelea Nchini ya mauaji,utekaji,wizi, ubadhirifu pamoja ujinga wot uliopo sasa, hata mimi ningekuwa DR.NCHIMBI lazima ningeshukia njiani.

    Ukikusanya maujinga ujinga yote yaliopo ndani ya serikali hii ya huyu mama kwa sasa ukajumlisha na ujinga wa hawa wakina makonda na machawa wenzao wanao pita pita huko kujisafisha kwa wananchi wajinga wenye uelewa mdogo, ilikuwa ngumu sana kwa mtu smart kama Dr.Nchimbi kuendelea kufanya kazi...
  8. adriz

    JamiiForums Tanzania Member Busu la Kenge ananitishia lazima nilipe ban yake , nashindwa kuelewa nifanyaje wana Jf..

    Moja kwa moja.. Mimi toka nimerudi kwenye meditation nimechagua kuishi maisha ya amani , sitaki ugomvi hata mtu akinichokoza na kunitukana nampuuza na namjibu kwa staha . Leo nashangaa kwenye Uzi wangu ghalfa bin vu ametokea member anayejulikana kama Busu la Kenge na kunitishia maisha eti...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kila nikipost picha yangu lazima nikutane na comment yake 'Cheusi Mangala mwenyewe', inaninyima amani

    Habari Wakuu, Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu. Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kila nikipost picha yangu lazima nikutane na comment yake 'Cheusi Mangala mwenyewe', inaninyima amani

    Habari Wakuu, Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu. Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo...
  11. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kwanini pale unapomuambia mzazi wako mchumba wako wa kike ni mjita, mkerewe, mmachame, mnyantuzu au mswahili wa pwani lazima sura imshuke

    Nini iko mbaya.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanafunzi, hivi ni lazima uipende taaluma yako?

    Nikiwaza hili ni jambo nitakalokuwa nafanya kila siku asubuhi hadi jioni kipindi chote cha maisha yangu kama chanzo changu cha kipato na utambulisho wangu , inachosha!, uhuru kidogo, naona kama niko boxed kwenye maisha. Inanilazimu kutafuta namna ya kuipenda hii taaluma ili niwe na moyo wa...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa Wakristo ni lazima kutumia 2 Timotheo 4:7 kwenye tangazo la kila Mkristo aliyefariki ?

    "Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda"
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kustafu unzinzi ila lazima Hawa niwapitiekatika

    Ujana wangu upo ukingoni Sasa very soon naenda hit 40,miaka kumi na mbili iliyopita nilipanga ujana wangu ntautumia wote nikiwa bila mke ila lazima niwe na watoto , nilipanga ntatumia muda mwingi kutengeneza misingi y kiuchumi sababu Mimi ni mwalimu , bila mpango mkakati wa kutengeneza misingi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Lt. Herbert Mabonga: Vyombo vya usalama viliendesha vituo visivyo rasmi vya kuwashikilia watu, vinavyojulikana kama “safe houses” walitekwa na kuteswa

    Lt. Herbert Matanda Mabonga, anasema alihudumu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) kama afisa wa ujasusi na baadaye aliliacha jeshi. Katika video/tamko refu lililotolewa Septemba 30, alidai kuwa vyombo vya usalama viliendesha vituo visivyo rasmi vya kuwashikilia watu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo bora ukamatwe na Trafiki si Manispaa, huduma yao lazima ikuingize matatizoni

    Sisi tunaoendesha usafiri wa Bajaj na Bodaboda hasa Taksi Mtandao tunaomba utaratibu wa Kariakoo wa kushusha abiria uwekwe wazi na katika mpangilio unaeleweka. Hatujui ni wapi pakupakia wala kushusha, tunakamatwa na kutozwa pesa nyingi kila mara imekuwa ni bora ukamatwe na Traffic Police na...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu wote maarufu lazima waishi Dar ?

    Hivi Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Morogoro hakufai kuishi watu maarufu ? Ukifuatilia umbea wote nchi hii wa wanaonekana watu maarufu hasa wa mitandaoni ni Dar tu!
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe. Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake. Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
Back
Top Bottom