A
Anonymous
Guest
Sisi tunaoendesha usafiri wa Bajaj na Bodaboda hasa Taksi Mtandao tunaomba utaratibu wa Kariakoo wa kushusha abiria uwekwe wazi na katika mpangilio unaeleweka.
Hatujui ni wapi pakupakia wala kushusha, tunakamatwa na kutozwa pesa nyingi kila mara imekuwa ni bora ukamatwe na Traffic Police na siyo wale watu wa Manispaa hawana huduma nzuri, wajuaji na lazima mtagombana tu.
Kwani wanashindwa kuwa wanatoa elimu kwa yake wanayoona ni makosa hapohapo, badala ya kumvizia mtu kisha unamkamata na kuanza kumghasi ili tu wapewe kitu kidogo wakuachie au wabebe chombo chako juujuu kukipeleka kwenye ofisi zao na kesi ikishafika huko inakuwa kubwa zaidi.