Kwa nini watu wote maarufu lazima waishi Dar ?

Kwa nini watu wote maarufu lazima waishi Dar ?

Hivi Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Morogoro hakufai kuishi watu maarufu ?

Ukifuatilia umbea wote nchi hii wa wanaonekana watu maarufu hasa wa mitandaoni ni Dar tu!
Sio watu maarufu, matajiri namba 1-50 wote wanaishi Dar. Mssikini nao kila siku wanahamia kwa maelfu wanaingia Dar kutoka mikoani. Dar ndio Tz.
 
Hivi Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Morogoro hakufai kuishi watu maarufu ?

Ukifuatilia umbea wote nchi hii wa wanaonekana watu maarufu hasa wa mitandaoni ni Dar tu!
Umaarufu hutengenezwa zaidi na vyombo vya habari,utengenezaji wa maneno ya kuwaelezea,uchawa,kuwashangaa na kushikiwa akili.Hayo yote yapo Dar.
 
Mikoani watu maarufu wapo ila michongo ndo hakuna ndo maana wqkiwq tu maarufu wanahama
Mfano wanamuziki wanakuwa na michongo gani Dar wakati wote ?

Wabunge na mawaziri wa mikoa mengine wanakuwa na michongo gani Dar?
 
Na ukiangalia wengi wanaovuma wametoka vijijini wakakimbilia mjini dar es salaam. Mwamposa mwenyewe katokea moshi akafika kawe, anawika zaidi kuliko alipokuwa moshi. Mkiambiwa dar ndio mji mkuu wa Tanzania muwe mnaelewa
 
Hata Tony Kapola alikuwa Morogoro akaona miyeyusho kahamia zake Dar Millenium Towers😁😁😁
 
Back
Top Bottom