wote

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kimsingi Godbless Lema hana ushawishi, hata apumzike yeye na Mbowe wahame wote Vijana hawawategemei

    Hamjambo wote! Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake. Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA. Huo ushawishi hana. LEMA ajue Chadema ndio...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania AMEPOTEA NA HAONEKANI: Nani asiyejua viongozi wote wa Dola( JWTZ, TISS,POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI)ni Mali ya CCM ?

    .
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini single Mothers huwa wana mahasira muda wote?

    Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi. Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

    Sisi tuliosoma Saikolojia na wenye weledi wa kufuatilia siasa za kijiografia tumeelewa sana...! Nanyi wote mnaofuatilia eleweni kwa umakini.This is not just a message but its a major Geopolitical Message to the world and all those behind the scene. N.B: Canada voted vs cuba blockade!! KWA...
  5. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Civilian-Coin wote ni WA Tanzania; Baba na Mama ni WA Tanzania.

    Uvumi na upotoshaji ya kuwa baba ni mMarekani ni habari za uongo na so za kweli. Baba mzazi wa Civilian-Coin Nalimi Kisandu ambaye ni Nalimi Kisandu amezaliwa Busoka manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga(kabiia: Msukuma) na Mama mzazi (Bi. Laurencia Tundule-Msukuma) amezaliwa Kahama hapohapo. Na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

    Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Tunauziwa maji machafu! DAWASA wote wafukuzwe kazi. Kuanzia Wafanyakazi hadi Bodi

    Nini hiki? Mtasema AI.
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki huadhimisha siku ya Marehemu wote yaani Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, kila mwaka tar.02 Nov, na sio ule unafiki wa teki.

    Siku ya Marehemu Wote inayojulikana Kilatini kama Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 November, ili kuwakumbuka, kuwaenzi na kuwaombea waamini marehemu katoliki wote na waja wa Allah wote waliotangulia mbele ya haki. Mtakubaliana nami kwamba kilichofanyika...
  10. Patrice Diounis

    JamiiForums Tanzania Kwenu Mliojisahau, kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana

    Kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana. Hasa pale wanasiasa walipoikamata Intelijensia na wasiochaguliwa pia waliotupwa mkono kikatiba wakaitawala serikali. Kikubwa taifa huanguka Hasa pale jeshi likikoma kuwa la wote, likawa la mmoja au kikundi fulani. Mwanazuoni...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi acha utapeli na uongo njoo tushiriki wote maandamano

    Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe...
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Uganda na Rwanda wakiweza kufanikisha goma upande wote wa Congo basi Burundi na Kagera ni sehemu zao, mtanikumbuka!

    Mada zangu mnaona kama kichaa ila ukweli ndio huu. kwa sasa hawa pande hizi wamewekeza CCM na lile kusema kuna vikosi na majeshi yana toka huko mtabisha ila weka kumbu kumbukumbu. Kuna kitu CCM mtajialumu na huyu mtu kutoka UVCCM mwenye kauli tata zake za kuteka. Nchi inaenda kugawanywa na...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi niamini ila iko hivi wapinzani wa Freeman mbowe wote watapewa kesi za uhaini

    Najua uwezi niamini ila ndio iko hivyo, wapinzani wa Freeman Samila suluhu Hassani wote watapewa kesi za uhaini kuanzia tundu Lisu,Heche na wale vijana wote waliompinga mbowe note my word.niko hapa sifi leo nasikiliza mziki wa injili kupitia star tivi hahahaha
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naichukia sana CCM na wote wanaoishabikia

    Matatizo yote ya watanzania yamesababishwa na yanaendelea kusababishwa na CCM. Ndugu yangu ameenda Muhimbili akiwa anaongea anatembea ila amerudi kakatwa mkono, haongei na hatembei. Yaani uzembe wa madaktari umesababisha akatwe mkono na asiweze kuongea. Walimuwekea drip ya dawa ikawa inaflow...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Haramu Isipoharimishwa ni Halali? Batil Isipobatilishwa ni Halali?. Licha ya Ubatili Wote, Matokeo ni Halali, Ni Rais Halali!

    Wanabodi Japo sikusomea fani ya ualimu, lakini kwa kadri uzee unavyoninyemelea, nimeanza kujiona kama mwalimu humu, kuwafunza madogo humu mambo makubwa wasio yajua!. Somo la leo ni somo la Haramu sio tuu inavyoweza kugeuka halali, bali haramu nyingine ni baraka. Mada kuu ni Je wajua kuwa...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote: Laki moja na nusu inakatia bima familia ya watu watano

    TUUMEWASHA MSHUMAA Tupo hapa Mtwara kwenye Uzinduzi wa Bima ya afya kwa wote awamu ya pili Viwanja vya sabasaba Awamu ya Kwanza ilikuwa Bima ya afya kwa watu wasio kuwa na uwezo kama wazee nk. Hii awamu ya pili inahusu watu wote mimi na wewe. Uzuri ni kwamba, bima hii ya afya, ukiwa na Laki...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumwita mwenyekiti wa Chaso na kumuacha Kiliba ni ukorofi. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo vyombo vya dola wanataka watu wote wawe upande mmoja.

    Hamjambo! Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo. Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
Back
Top Bottom