Maria Sarungi acha utapeli na uongo njoo tushiriki wote maandamano

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,683
Reaction score
1,438
Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe

Njooo njooo njooo tukutane ground mnuka papuchi wewewe
 
Mkuu wala usiteseke naye huyo. Yeye anajua kuna kakikundi ka nyumbu anakatageti. Wao kufikiri ni zero!
 
Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe

Njooo njooo njooo tukutane ground mnuka papuchi wewewe

Sasa mbona mnajibishana mkiwa wote hapo hapo ? Si muongee tu 😄 🤣 😂 😆
 
Punguza makasiriko,andika hoja Yako vizuri utaeleweka!Hizo jazba na matusi haziipi hoja yako nguvu bali hudhoofisha!
 
:HAhaa:
 
Attachments

  • a09704a9-6d0e-4811-992f-60894a0b60ab_w1200_h630.jpg
    a09704a9-6d0e-4811-992f-60894a0b60ab_w1200_h630.jpg
    138.3 KB · Views: 6
anzisha na wewe space yako usikilizwe!
labda nianzishe ya kufundisha watu biashara na kilimo, ukiangalia waliopo space wote ni wabeba maboxi na waosha vyombo huko ulaya
 
kumbe na wewe ni memba wa Maria Space
 
Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe

Njooo njooo njooo tukutane ground mnuka papuchi wewewe
Kawatumia wale wanaharakati uchwara kwa kuwapeleka nairobi,sasa hivi kawamwaga,hali imekua ngumu wanaanza kurudi wenyewe,issue kama ya sativa aikua ya kisiasa ila maria akamturn mshkaji aende nairobi aanze kutukana watu wakati hadi rais alichangia matibabu yake
 
Hata Lisu kweli huwa inaniuma sana ukisikia wanamtukana Rais , yeye ndo mtu pekeee enzi ya magufuli alikubali kumtembelea hospitali, kamlipa mafao yake, kawarusha nchini, kwatangazia 4R bado wanamtukana mno, ndo maana na yeye sasa anawanyukua kidogo kidogo na watakoma haswa
 
Back
Top Bottom