uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi acha utapeli na uongo njoo tushiriki wote maandamano

    Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni ngao ya taifa: Kukemea upotoshaji na taarifa za uongo

    Katika ulimwengu wa sasa wa maendeleo makubwa ya teknolojia na mitandao ya kijamii, uwezo wa kusambaza taarifa umekuwa mkubwa na wa haraka kuliko wakati wowote katika historia ya mwanadamu. Hata hivyo, uhuru huu mkubwa unakuja na wajibu mzito wa kimaadili na kizalendo. Kusambaza taarifa za...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania CCM kutaka maridhiano ni ushahidi kuwa zile 98% za Samia ni uongo

    Kama uchaguzi ulifanyika na watu walishiriki na matokeo yakawa ushindi wa kishindo kwa samia (asilimia 98), maridhiano yanini sasa? Kama watu 98 kati ya 100 wanawaunga mkono hawa wawili wanawauma nini? Tafadhali sana, mleteni Samia ahutubie hadharani tuoneshe mahaba yetu kwake. Yeye si mjuaji...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mfalume Ahabu ( Samia wa Leo) alikua na Manabii wake 450 wa Uongo walomtabiria anayopenda kusikia, Nabii Eliya na Mikaya walimtabiria Mabaya tu!!

    Mfalme Ahabu aliwachukia San Nabii Eliya na Mikaya kwakua walikua wanamtabiria Mabaya siku zote, Chuki ikaenda mbali Kiasi cha Ahabu kutafuta kwa nguvu zake zote Kumuua Eliya Na Mikaya . Mfalme Ahabu , Aliondoa Ibada ya Mungu katika utawala wake, Israel ukaanza kuabudu miungu Baali, miungu...
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Nimechoka Kusikiliza Uongo Kwenye Mazishi!" - Padri Gichure Ailipukia Familia Wakati wa Mazishi

    Mazishi yanapaswa kuwa wakati wa kuaga wapendwa, kutafakari maisha yao na kuwafariji waliofiwa. Lakini kwa Padri Gichure, hafla ya mazishi ilikuwa pia wakati wa kuhoji ukweli wa simulizi zinazotolewa kuhusu marehemu. Padri huyo aliikosoa familia iliyokuwa ikiwasilisha historia ya marehemu...
  6. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Ni Kitu gani ulifundishwa shuleni Lakini Sasa ivi umegundua kama ulidanganywa maana haikuingii akilini
  7. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Uongo mbaya na msema kweli mpenzi wa Mungu, jezi ni mbaya na hazina mvuto.

    Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu.. Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Uongo wa majority hugeuka kuwa ukweli pia.

    Katika jamii watu huishi kwa mazoea.. Yaani watu wa kisha aminishwa kitu cha uongo watakishikilia maana ni comfortable kwao. Nimeligundua hili na halinipi shida tena. Naona kwenye uzi wangu wa kuoa foreigner watu wana tapatapa tu ila wanacho kimbia ni kuu face ukweli And I don't care at all. 😎😎
  10. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Polisi taarifa za uongo zinawaweka rehani!

    Polisi hawajijui. Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii. Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa ujumla imeshusha sana imani ya watu kwa jeshi letu la polisi. Polisi kuhusika kiamilifu mauaji ya Okt29...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni filamu za nchi gani zinaongoza kwa uongo mwingi?

    Wahindi ni waongo Mimi niliacha kuangalia movie za Kihindi baada ya kuona ‘Starring’ kapigwa risasi, kaidaka alafu kairudisha kwa adui aliyempiga nayo kisha huyo adui akafariki hapo hapo
  12. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania HII NI HABARI YA KWELI HAINA UONGO HATA KIDOGO😭😭😭

    .
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kingu: Mungu Alinifunulia Uteuzi wa Ndejembi na Nilimpigia Simu.Kama nasema Uongo Abishe

    My Take Inaweza kuwa kweli au pia kujikosha Kisiasa. Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amedai yeye ni mtumishi na wiki chache zilizopita alizungumza na Mungu, hali iliyofanya ampigie simu Deogratius Ndejembi kwamba kuna jambo kubwa linaenda kumtokea siku chache zijazo...
  14. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kujua ukweli na kuona ukweli, lakini bado ukaamini uongo!

    Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali. Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha mtazamo wake. Lakini tatizo linakuwa pale mtu anapoona ushahidi unaopingana na msimamo wake, halafu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  16. Pakome

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini BBC hua inapenda sana kuzua taharuki kwanza kwa jamii kwa upotoshaji, halafu inakuja kurekebisha uongo huo wa makusudi baadae?

    Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi. Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania. Na hapa sio...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hivi uongo ni ugonjwa au tabia tu mbaya ?

    Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu . Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ? Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na wakati mwingine kutaka kujilinda, au kutafuta faida hasa kwenye ishu za pesa, na wakati mwingine mtu...
  19. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Ila uongo nao kazi kweli kweli

    Yani unasema uongo ili kuulinda uongo unongezea uongo mwingine juu yake. Ukiulizwa kwanini ulidanganya unaongezea sababu za uongo tena.
  20. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
Back
Top Bottom