Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Kama uchaguzi ulifanyika na watu walishiriki na matokeo yakawa ushindi wa kishindo kwa samia (asilimia 98), maridhiano yanini sasa?
Kama watu 98 kati ya 100 wanawaunga mkono hawa wawili wanawauma nini?
Tafadhali sana, mleteni Samia ahutubie hadharani tuoneshe mahaba yetu kwake. Yeye si mjuaji sana?