Ni filamu za nchi gani zinaongoza kwa uongo mwingi?

Ni filamu za nchi gani zinaongoza kwa uongo mwingi?

Mimi ata skumbuki ni mwaka gani niliangalia movie za kihindi, wale wamezidi. Cha kushangaza bado watu wanapendaga hizo movie, huwaga nawashangaa mnoo
 
Risasi imepigwa, kwa dada yake, yeye yupo nje ya dunia na ameiwai kuizuia.
 
Wahindi ni waongo

Mimi niliacha kuangalia movie za Kihindi baada ya kuona ‘Starring’ kapigwa risasi, kaidaka alafu kairudisha kwa adui aliyempiga nayo kisha huyo adui akafariki hapo hapo
Mkuu wahindi ni waongo kwenye Movies za Action tu,Lakini ukitaka kuwafaidi wahindi wewe watazame kwenye Movies zinazohusu mapenzi!
 
Back
Top Bottom