Uongo mbaya na msema kweli mpenzi wa Mungu, jezi ni mbaya na hazina mvuto.

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu..

Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina mvuto kabisa, binafsi SIWEZI vaa hio jezi.

Kuna mtu alitoa ushauri kua hizo jezi wapewe vijana wengine wa under ngapi hapo, halafu Jamaa apewe nafasi nyingine ya kusuka jezi nyingine Kali kwa usimamizi wa kamati ya Makonda.. wakiweko na ma designers

Tofauti na hapo hii nchi Ina hela sana, wavunje mkataba wampe hela zake na fidia, wampe tenda JAYRUTTY au wengine wenye ubunifu mkubwa.

Jezi kama gunia aise. Rangi Moja tu. 🚮🚮🚮
 
Jezi ni nzr sana na pia Zina bahati.
Kazi ni kipimo cha utu
 
BASHITE ana machawa wengi humu.
 
Back
Top Bottom