mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Umaskini mbaya wazee. Tufanye kila jambo kuukana umaskini

    Kuna wale waliobahatika kukuta mifereji kwenye familia zao. Nimeona watu wakipata kazi wako chuo mwaka wa kwanza, wengine mwaka wa pili na wengine wanasubiriwa tu wamalize chuo waanze kazi bila kujali matokeo wala nini . Wengine wanashindwa waende wapi, baba ana kituo cha Afya , serikalini kaka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania HALI NI MBAYA SANA

    Hii ni hotuba yangu kwa wananchi wa nchi ya wadanganyika mara baada ya kula kiapo; Ndugu wadanganyika;ukiona kulipaswa kuwepo maridhiano kabla ya kuchaguana na kisha hayo maridhiano ya wadanganyika hayakufanyika na yakatokea ya kutokea na sasa kuna utaratibu wa kulazimisha maridhiano na baadhi...
  3. passioner255

    JamiiForums Tanzania watawala wauaji na wapambe wake huwa mwisho wao ni mbaya

    Watawala wauaji na wapambe zao huwa mwisho wao ni mbaya.Hii ni kwa sababu damu hudai na pia huwa wanaviburi kiasi kwamba wanahalalisha mauaji.huu ndo muelekeo wa utawala huu ovu wa nchi yetu.haiepukiki.
  4. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu wanaandika comment mbaya mitandaoni za kubully watu?

    Hivi inakuwaje mtu unaingia social media, let's say TikTok au Instagram unaona video ya mtu mwenye confidence amejipost anadance, au anaimba nyimbo, au anafanya chochote kile kinachompa furaha halafu unaanza kuandika comments za kumbully. Why do you feel the need to destroy someone's happiness...
  5. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Hao watoto wanaotrend ukicheki wengi wa wazazi wao ni wale masikini choka mbaya, wanaopenda ngono na kuzaliana kama mapanya.

    Nchi masikini, hauna rasilimali lakini mnamwaga mwaga kila kona Hao watoto wengi wao ni fatherless, wanalelewa na mama pekee , au wana lelewa na ndugu au bibi maana mama anatamba kujitafuta kwenye mabaa ya sinza na tabata, baba yeye aliikataa mimba amekimbilia mkoani huko na tena huko amempa...
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nini inasababisha wanawake wengi ( slay queen) kutoa harufu mbaya ya mdomo?

    Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9...
  7. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania TCU Simamieni Taratibu za Ubora Vyuo Vikuu. Uamuzi wa UDSM Kufuta Mitihani ni ishara Mbaya!!

    Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora. Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi?

    Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi? Au tatizo kati yetu ambao ni wanafiki wapo ambao wanajua ukweli lakini wamekuwa machawa. Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao. Ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukaanza kufanya mchezo mbaya?

    Nimecheka sana kukumbuka hili neno "mchezo mbaya", kwanini watu wazima walilipa kitendo hicho jina la mchezo mbaya? Ukidakwa hizo fimbo zake ni balaa, ni kama dunia imeisha, mtaa mzima unajua umechapwa sababu umebambwa ukifanya mchezo mbaya😂😂. Usiombe kubambwa na watoto wa wenzako - redio mbao...
  10. D

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za UDOM kwa upande wa changamoto za kitehama kwa wanafunzi ni mbaya mno

    Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms) Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kama kuna vipimo basi awahiwe kabla hali haijawa mbaya

    Kama kuna Rushwa Serikalini ni Viongozi wa Dini ndio wameshindwa kuthibiti Rushwa kwa kushindwa kuwaombea waumini wao waache Rushwa” - MAKONDA My Take Nchi hii ipo kinyume sana katika uongozi, watu wanaongea pumba ndio wanapewa majukwaa makubwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Masikini umashuhuri na Mama umepitwa hata na Miss Grand! Tamaa mbaya sana

    Mama kabaki na machawa tu. Hakuna wa kumuamini zaidi ya Wanzanzibari wenzake tu. Huku bara kabaki na machawa tu. Na asipokuwa makini watamaliza kama Magu hukohuko hospital na kusema alikuwa na strock au ugojwa wa moyo. Hawezi kuweka madaktari wote wa Zanzibar kila wakati. Umashuhuri mdogo wa...
  13. Ed edd n eddy

    JamiiForums Tanzania TANZANIA HATUJUI KUCHOMA NYAMA SABABU NYAMA YETU NI MBAYA

    Utamaduni wetu wa nyama choma hapa Tanzania kwa ujumla ni wakishamba sana. Ukiagiza nyama choma matarajio ya watu wengi ni nyama iive mpaka ndani iwe imekauka kabisa. Ukiomba medium rare au rare, unaweza kuangaliwa kana kwamba umeagiza nyama mbichi kutoka machinjioni. Tatizo letu ni kwamba...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kongowe na Misugusugu tunateseka na harufu kali kutoka kiwanda cha pombe

    Wakazi wa Kongowe na Misugusugu, Kibaha, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya harufu kali inayotoka katika kiwanda cha pombe kilichopo Misugusugu. Harufu hiyo hujitokeza zaidi kati ya saa 7 na saa 9 usiku, wakati ambapo wananchi wengi wanakuwa wamepumzika. Hali hii inatukosesha utulivu na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania MMM: RANGO NA USANII WA KIMASAI WAKATI NDIYE MBAYA WAO

    Nimependa andiko la Martin Maranja Masese: Dear, RANGO. Hadi umemaliza muda wako wote wa kuongoza The Inter-Parliamentary Union (IPU) umeshindwa kabisa kuthubutu kukemea mauaji ya raia yaliyofanywa na Serikali yako katili ya CCM. Wewe ni KATILI Rango, utamaduni wa mtu ndiyo utu wake Vazi la...
  16. Bikra unayo

    JamiiForums Tanzania Huenda tatizo la jamii yetu si kwamba watu wamekuwa wabaya, bali tumetengeneza mazingira yanayowazawadia watu wenye tabia mbaya.

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu. Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili. Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
  17. CardoVerli

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mafundisho ya Kidini Yanavyopandikiza Chuki, Utengano, na Roho Mbaya Kwenye Jamii

    Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza chuki, na kuvunja hata mahusiano ya familia Ukiacha maneno matamu jukwaani apa na ukaenda kwenye...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna legacy urathi mbaya alioacha Magufuli kama kutuletea hawa vinyamkera wa kukera.

    Vipo vingi hadi vinatia kinyaa. Pamoja na mengi mazuri aliyofanya, alikosea kwa kuumba na kuleta vinyamkera ambao wamegeuka kero katika taifa letu. Vinyamkera hawa wanakula kwa miguu na mikono tena bila kunawa. Hawashibi wala kuridhika. Ni viumbe hatari kuliko hata chawa wanayonya damu. Ni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Methu: “Ruto na Kindiki Wameleta Pombe Mbaya Mlima Kenya”

    Seneta wa Nyandarua, John Methu, amewakosoa Rais William Ruto na Naibu Rais Kithure Kindiki, akidai kuwa uongozi wao umechangia kupatikana kwa pombe mbaya katika jamii za Mlima Kenya. Katika hotuba yake, Methu alielekeza lawama kwa viongozi hao kuhusu aina ya pombe inayopatikana katika eneo...
Back
Top Bottom