Kama kuna vipimo basi awahiwe kabla hali haijawa mbaya

Kama kuna vipimo basi awahiwe kabla hali haijawa mbaya

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476


Kama kuna Rushwa Serikalini ni Viongozi wa Dini ndio wameshindwa kuthibiti Rushwa kwa kushindwa kuwaombea waumini wao waache
Rushwa” - MAKONDA

My Take
Nchi hii ipo kinyume sana katika uongozi, watu wanaongea pumba ndio wanapewa majukwaa makubwa.
 
Mambo ya Kula kwa urefu wa kamba, my take jinsi muda unavyoenda ndivyo wanavyoonesha mambo yao mabovu, waziwazi
 
Na hao viongozi wa dini wanaambia na jukwaa lao wanakenua tu kama mazombie
yaani mgeni anakutukana kwako na umemualika?!

viongozi wa dini ndio mapimbi sana sio makonda ingawa nae ni kiazi ulaya!
 
Back
Top Bottom