robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 842
- 1,425
Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora.
Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza mtindo huo kwa lengo la kujiingizia mapato ya ziada kwa sababu wanafunzi sasa wanalazimika kulipia! Hawana sababu nyingine ya kufuta mitihani hiyo.
Je, ni kweli TCU hili siyo jukumu lenu? Au ni kushindwa kuelewa mipaka yenu pamoja na wizara kwa ujumla. Badala ya kutafuta Nobel Prize Vyuo viko bize kuibia wanafunzi. wanaendelea kuigana kufanya upuuzi huu!