TCU Simamieni Taratibu za Ubora Vyuo Vikuu. Uamuzi wa UDSM Kufuta Mitihani ni ishara Mbaya!!

TCU Simamieni Taratibu za Ubora Vyuo Vikuu. Uamuzi wa UDSM Kufuta Mitihani ni ishara Mbaya!!

Bro itakurudia hii. Usichafue maisha ya watu kwenye mitandao.
Mimi nikisikiaga hivi, huwa naamini kuna jambo la kujifunza. Lazima ipo sababu. Ukinipa nafasi, namchunguza aliyepost na huyo aliyetajwa.
 
Wanasema huo utaratibu SUa upo muda mrefu. Vipi mmewai kuukemea?
Yawezekana, kule si vichakani, mashambani? Lakini je, umewanufaisha akina nani? Chuo kisileta mtindo eti uko kwa fulani. Yaani unatesa vijana kama mwingine anavyotesa wengine?

Sitaona ajabu maana hawa wanaoitwa VCs huwa wana vikao vyao. Nadjhani wamepeana 'desa' kwamba ukiweka utaratibu huo utafaidika. Sioni faida yoyote tofauti na manufaa binafsi.
 
Issue ni chuo kuwa mashambani au issue ni chuo kipo chini ya TCU na hakijawai kupigiwa kelele? Kama mfumo huo unatesa wanafunzi, kwanini SUA haijapigiwa kelele?

Nadhani ungeanzza sasa kufuatilia vyuo vyenye huo mfumo, uje na majibu kama ni hasara huku ukitoa ushahidi wa vyuo vinavyotumia huo mfumo. Baada ya hapo sasa ndiyo unatoa mapendekezo kwa mamlaka husika, TCU & UDSM kusitisha mfumo huo. Mapendekezo yako yakipewa nguvu na Data ulizopata, itakuwa safi sana.
 
Ni muda wa Lecturer kuzishindilia papuchi za watoto wa buku mbili kwa kasi ya 6G kabisa. Maana binti akifikiria kuja kufanya supplementary next year, ni bora aache goli wazi ili apite bila kupingwa.
Kwa wanaume ni mwendo wa kupigwa noti ili usipate kimeo.
Kwa mtazamo wangu huu mfumo unaenda kuongeza rushwa za aina mbalimbali hapo UDSM hali itakayopelekea kupata wahitimu wa hovyo kabisa nchini.
 
That is the stupidity of the decision! Wote tulipitia vyuoni na hata nje ya nchi. Kwa nini unahamisha? Unahamishia wapi ambako mwanafunzi hana kazi za masomo. badala yake mwaka mzima mwanafunzi anarundika mabaki ya nyuma.

Acheni janja-janja isiyokuwa na manufaa ya ubora wa elimu. Vyuo vyote vimeiga kwa lengo la kuchukua pesa kwa wanafunzi tu!
😹😹😹😹 sasa mkuu mimi nahusikaje? Mie nilikuwa natoa tu clarity ya upotoshaji kuwa mitihani hiyo imefutwa kutokana na maelezo yaliyokuwa yametolewa. Hayo mengine sasa ni another case.
 
You must be a shithole!
Kwani zamani ilikuwa inafanyika nje ya mwaka wa masomo. Vijisababu mshenzi sana!!!! Eti wanafunzi wanajifelisha. Sasa! ili iweje?

Hivi vyuo vimedumu miaka 60+ bila hata nobel moja. sasa wanatafuta ubora kwa ugumu wa maisha ya wanafunzi. Shiiit!
😹😹😹 sasa shithole mbona hasira unanimalizia mie?
 
Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora.

Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza mtindo huo kwa lengo la kujiingizia mapato ya ziada kwa sababu wanafunzi sasa wanalazimika kulipia! Hawana sababu nyingine ya kufuta mitihani hiyo.

Je, ni kweli TCU hili siyo jukumu lenu? Au ni kushindwa kuelewa mipaka yenu pamoja na wizara kwa ujumla. Badala ya kutafuta Nobel Prize Vyuo viko bize kuibia wanafunzi. wanaendelea kuigana kufanya upuuzi huu!
Sisi huku kwetu udom unalipia somo pesa ulilocarry , ni mwendo wa pesa tuu 😂.
Tena unalipia kutokana na credit ya somo lako , kama ni unit 9 jiandae tisini ,🙆😹... Amna pa kuponea.
 
Waambieni wadogo zenu na wanenu wazingatie masomo, acheni lawama zisizo na msingi wowote.
 
Issue ni chuo kuwa mashambani au issue ni chuo kipo chini ya TCU na hakijawai kupigiwa kelele? Kama mfumo huo unatesa wanafunzi, kwanini SUA haijapigiwa kelele?

Nadhani ungeanzza sasa kufuatilia vyuo vyenye huo mfumo, uje na majibu kama ni hasara huku ukitoa ushahidi wa vyuo vinavyotumia huo mfumo. Baada ya hapo sasa ndiyo unatoa mapendekezo kwa mamlaka husika, TCU & UDSM kusitisha mfumo huo. Mapendekezo yako yakipewa nguvu na Data ulizopata, itakuwa safi sana.
TCU iko hoi! Tatizo ni uongozi wa TCU unavyopatikana. Unamchukua mtu toka Chuoni, unatemea asimamie vyuo, wakati anaelewa akitenguliwa atarudi chuoni hapo hapo!

TCU inatakiwa iwe ya watu wenye uelewa wa mambo ya vyuo, wakiwa nje ya ajira za vyuo. Elimu mavi tu hii!
 
Back
Top Bottom