Ilikuwaje ukaanza kufanya mchezo mbaya?

Ilikuwaje ukaanza kufanya mchezo mbaya?

Joined
Aug 30, 2026
Posts
6
Reaction score
7
Nimecheka sana kukumbuka hili neno "mchezo mbaya", kwanini watu wazima walilipa kitendo hicho jina la mchezo mbaya? Ukidakwa hizo fimbo zake ni balaa, ni kama dunia imeisha, mtaa mzima unajua umechapwa sababu umebambwa ukifanya mchezo mbaya😂😂. Usiombe kubambwa na watoto wa wenzako - redio mbao zinafikisha taarifa kama muvi, bora ukutwe na mtu mzima wengine watakubarasa tu, au utakula fimbo mbili tatu ukichoropoka imeisha hiyo.

Ilikuwaje ukaanza kufanya mchezo mbaya? Ulidakwa ukachezea fimbo au ilienda kimya kimya?
 
Labda nyie wa elfu 2000 ila sie wa wayback hatukua tunajua huo mchezo mpaka tulipoanza kujifunza reproduction sekondari...
 
Labda nyie wa elfu 2000 ila sie wa wayback hatukua tunajua huo mchezo mpaka tulipoanza kujifunza reproduction sekondari...
Sii kweli, enzi hizo michezo ya kujificha na kutafutana kwenye migomba na magwatemala vikojoleo vimekutanishwa sana
 
Back
Top Bottom