kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Lema: Tunakwamishwa na Wanaharakti walioko mbali na nchi. Tunashindwa kufanya Strategic Engagement

    Katika Press inayoendelea ya Bwana GODBLESS LEMA sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=FY5m3_OEpqQ Amesikika akisema kwamba:Watu wanaozea Jela kwa sababu Wanaharakati wamekiteka Chama na Wanasema Hakuna kuzungumza nao hata watu wanapokuwa JELA ilhali hao wanaharakati wenyewe hawapo Tanzania...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hii kazi ya Customer Care inabidi uwe na Uvumilivu wa hali ya juu

    Nawaonea sana huruma watu wanaofanya kazi kitengo cha customer care. Hawa watu wanabeba lawama za Mataasisi na Maofisi. Mteja anapiga simu anaporomosha matusi, kejeli na lawama kibao. Alafu unakuta huyo mteja ndio mwenye kosa. Mimi nimewai kuona Boyfriend wa mteja alikopa pesa kwenye App...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje eti kufanya maridhano na chama ambacho kucha kutwa kina panga mikakati ya kuvunja amani ya Nchi?!!

    Hata kama ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani Chadema, lakini kwa mwenendo wake wa kichochezi inapoteza uhalali na sifa ya kufanya maridhiano. Haitakiwi kufanya maridhiano na genge la wahuni/ wahalifu magaidi wahaini. Tunaomba msajili wa vyama akifute mara moja chama cha Chadema kwamaslahi ya...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

    Vijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele. https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4
  5. min -me

    JamiiForums Tanzania Ogopa kufanya vita na hawa viumbe wa Jf

    Wewe kama mgeni , ipo siku watakushangaza mno , na hautategemea kabisa, wewe endelea kujichetua tu😅😅😅 Note.bia ipo kwenye rada nawacheki tu🤣
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Mama Akamatwa kwa Kuzuia Mtoto Kufanya Mtihani wa KPSEA kwa Sababu ya Namba 666

    Mama mmoja katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amekamatwa na polisi kwa madai ya kumzuia mtoto wake kufanya mtihani wa kitaifa wa Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA) baada ya kupewa namba ya mtihani 666, ambayo alidai inahusishwa na Shetani. Kwa mujibu wa taarifa...
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania DAR: Viongozi wa Dini kufanya mkutano kuanzia tarehe 28/10 hadi 30/10 katika ukumbi Mlimani City

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026. Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha...
  8. instinct desire

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tuachane na Maridhiano kwasababu yalishawahi kufanyika: vyama vikaruhusiwa kufanya siasa, ruzuku zikalipwa, kesi zikafutwa lakini mwisho ikawa hasara.

    Watanzania siyo wageni na kitu kinachoitwa maridhiano, kwa nature ya wanasiasa hawa tulionao, hakuna haja ya maridhiano kwasababu maridhiano yalishawahi kufanyika tukitegemea tutaona siasa za kizalendo, tulitegemea tutaona uzalendo wa kwelikweli kwa Taifa letu lakini cha ajabu wanasiasa wakaanza...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Pharis na UVCCM wanapanga kufanya njama dhidi ya Heche.

    Pharis tumemsikia anasema Heche ni mwizi. Heche hafai kuwa keep ongozi wa nchi hii. Nani amemwambia Pharis Heche amekaribia kuwa kiongozi wa nchi hii? Heche sasa hivi anasota waya. Heche anawayawaya wakati tunasubiri hukumu ya Mahakama Nov 6. Heche wanasema alikuwa house boy wa Mbowe. Hata...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Majaji wasitishwe wala kushawishiwa katika kufanya hukumu!

    MAJAJI WASITISHWE WALA KUSHAWISHIWA!! Iwapo itathibitika uhaini umefanyika na watu 500+ wakafariki adhabu stahiki itolewe bila woga na bila ushawishi. Kinyume na hapo tutajikuta na maafa mengine wakati mwingine chini ya ushawishi wa wahaini wengine.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani uvamizi wa ofisi yake Jimbo la Hai.

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026. Hawa UVCCM baada ya kuumbuliwa kudai rushwa wanataka kumalizia hasira zao kwenye...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukaanza kufanya mchezo mbaya?

    Nimecheka sana kukumbuka hili neno "mchezo mbaya", kwanini watu wazima walilipa kitendo hicho jina la mchezo mbaya? Ukidakwa hizo fimbo zake ni balaa, ni kama dunia imeisha, mtaa mzima unajua umechapwa sababu umebambwa ukifanya mchezo mbaya😂😂. Usiombe kubambwa na watoto wa wenzako - redio mbao...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kwa ukamilifu kunaimarisha afya ya moyo, ngozi na akili.

    Na zaidi sana, kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu, huchochea amani moyoni na utulivu wa akilini kitu ambacho hupelekea ufanisi mkubwa katika kazi na majukumu mbalimbali ya kujitafutia kipato, kwa kua moyo na ubongo vina afya iliyoimarishwa baada ya kufanya mapenzi kwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?

    Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi? Hiyo kampuni ipo kilosa inaitwa CHINA ESTATE FARM NAOMBA KUELEWESHA WANAWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WAO KAZI WANAWAAJILI WAFUNGWA NA ZILE HELA ZA MSHAHARA ANACHUKUA NANI???
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Habari wanajukwaa, tupeane moyo na uzoefu Kwa wale wote waliopitiaga kipindi kigumu waliweza vip kufanikiwa na kuvuka hapo. Nimekata sana tamaa ya Maisha. Ni muda mrefu Sasa sina shughuli maalum ya kufanya,nimefanya biashara ndogo ndogo lakini zimekuwa zikifa kutokana na ugumu wa biashara na...
  17. La Roche

    JamiiForums Tanzania Hamna mtu ambaye Maisha yalim-GUARANTEE chochote pale alipoamua kufanya jambo.

    Hey, mambo vipi? It’s me, La Roche, Kuna watu walisoma LLB na walikuwa na ndoto za kuwa Wanasheria wakubwa lakini leo wanafanya kazi Benki Kitengo cha Corporate Affairs... Unaweza usisome ukawa Tajiri kwa sababu tu Mungu amempa kila mtu AKILI...Kuna Akili ya Mtu mwenye Degree na Akili kwa mtu...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Je unajua ? Sasa unaweza kufanya skin dermatology bila kumuona mtaalamu wa ngozi ?

    Wakuu ! Kama title ya huu uzi inavyojieleza, sasa kupitia AI unaweza ukafanya mwenyewe skin dermatology bila kumuona mtaalamu wa ngozi ili kujua una gani aina ya ngozi, chunusi na madoa ambayo huyaoni kwa kioo, utapata kutambua ukavu wa ngozi au kama ngozi yako ina mafuta mengi na vile vile...
  19. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Ukimaliza kufanya mapenzi usikimbilie kuoga.

    Natumai mko wazima wa afya tele. Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni. Nikamuuliza kwanin? Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Raisi samia na kashfa zake kumbe ile kauli ya kusema kuna watu wamelipwa ndio yeye kufanya haya.

    Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza. Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa. Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
Back
Top Bottom