Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Wakuu !
Kama title ya huu uzi inavyojieleza, sasa kupitia AI unaweza ukafanya mwenyewe skin dermatology bila kumuona mtaalamu wa ngozi ili kujua una gani aina ya ngozi, chunusi na madoa ambayo huyaoni kwa kioo, utapata kutambua ukavu wa ngozi au kama ngozi yako ina mafuta mengi na vile vile utapata ushauri wa bidhaa za kutumia.
Mimi nilijipiga picha na kiuliza AI nina aina gani ya ngozi ? Naomba nifanyie uchambuzi kisha nishauri aina ya mafuta / vipodozi vinavyofaa kwa ajili ya ngozi yangu. Na nikaiuliza aina gani ya vyakula au matunda yanayofaa kwa ajili ya ngozi yangu.
Jaribu na wewe kwa ajili ya ngozi yako.