Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kiswahili:
Mwanga. Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa uchaguzi, Machi 10, 2025, ili kumpata mrithi wa aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Chediel Sendoro...
Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi
Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies.
More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!)
China imposes retaliatory tariffs on...
Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao.
Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc.
Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha?
Tunao zaidi ya 400
Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili.
Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli.
Huenda hizo food supplements zina...
Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku...
Habari wadau,
Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi?
Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
✅ Atakagua na Kuzindua Miradi ya Maendeleo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Februari 23, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo ikiwemo ya sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwa...
Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu.
Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
8. Jaribu na Chukua Hatua Ndogo
Ikiwa bado unajisikia kukwama, jambo bora unaloweza kufanya ni kusitisha kufikiri kupita kiasi na kuanza kujaribu. Huhitaji kuwa na wazo bora au mpango mzuri wa biashara kabla ya kuchukua hatua. Wakati mwingine, njia pekee ya kupata wazo lako kubwa ni kujaribu...
🔨Kama una pasi ya umeme iliokona na uchafu na unataka kuisafisha haraka. Iwashe ipate moto then chukua wax yamshumaa usugue katika pasi. Jinsi wax inavyoyeyuka inaondoka na uchafu. Ukishamaliza zima pasi ipate ubaridi then tafuta kitambaa au tissue ufutie mabaki.
🔨Kama ukitaka kukumbuka kwa...
Hamjambo humu?
Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali.
Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected.
Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
Wakuu
Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM NO Elections na hivyo wamekubaliana, hiyo imepelekea ACT kuitisha halmashauri kuu ili AGENDA hiyo...
Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha .
hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa...
Kwa pamoja, sasa tuanze kujifunza hatua moja hadi nyingine.
Njia 8 za Kugundua Wazo Lako Kubwa
1. Tambua Uwezo Wako na Mambo Unayoyapenda
Moja ya njia bora za kugundua wazo lako la biashara ni kuanza na wewe sifa zako, nguvu zako, na mambo unayoyapenda. Kwa nini? Kwa sababu kujenga biashara ni...
Najua unatamani sana kuanza biashara. Unaiota, unazungumzia kuhusu hiyo, unakatiza kupitia hadithi za mafanikio mtandaoni ukifikiria, Hii inaweza kuwa mimi. Lakini unapokuja kuchagua wazo Unagandishwa. Unajisikia umekwama, umejaa wasiwasi, labda hata umechoka kidogo.
Labda umeshawahi kusema...
Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.