Unaanzaje eti kufanya maridhano na chama ambacho kucha kutwa kina panga mikakati ya kuvunja amani ya Nchi?!!

Unaanzaje eti kufanya maridhano na chama ambacho kucha kutwa kina panga mikakati ya kuvunja amani ya Nchi?!!

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Hata kama ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani Chadema, lakini kwa mwenendo wake wa kichochezi inapoteza uhalali na sifa ya kufanya maridhiano.
Haitakiwi kufanya maridhiano na genge la wahuni/ wahalifu magaidi wahaini.
Tunaomba msajili wa vyama akifute mara moja chama cha Chadema kwamaslahi ya Taifa letu.
 
Ingekuwa nchi yetu ina mifumo ya haki, Chama Cha Mauaji, CCM ilitakiwa ifutwe mara moja. Utakuwaje na chama ambacho mauaji ndiyo sera yake ya kubakia madarakani. Siku nchi ikiwa huru, CCM lazima ifutwe.
 
Nipo hapa kujifunza
Kwanini mnataka kufanya maridhiano?
Maridhiano ni kati ya nani na nani hasa?
Nini agenda kuu ya hayo maridhiano ?
 
Nipo hapa kujifunza
Kwanini mnataka kufanya maridhiano?
Maridhiano ni kati ya nani na nani hasa?
Nini agenda kuu ya hayo maridhiano ?
Chadema walikuwa/ wamekuwa wakiomba maridhiano na Serikali ya CCM, lakini wananchi walio wengi hawaoni uhalali wa chadema kufanya mazungumzo ya maridhiano.
Bali chadema kinafaa lifutwe kabisa kama chama cha siasa.
 
Hata kama ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani Chadema, lakini kwa mwenendo wake wa kichochezi inapoteza uhalali na sifa ya kufanya maridhiano.
Haitakiwi kufanya maridhiano na genge la wahuni/ wahalifu magaidi wahaini.
Tunaomba msajili wa vyama akifute mara moja chama cha Chadema kwamaslahi ya Taifa letu.
Kwa nini CCM/Serikali wanataka maridhiano na CHADEMA?
Chadema haikushiriki uchaguzi wa mkuu wa Oct. 2025 na wala hakuna taarifa kuwa wao CHADEMA na CCM wana ugomvi sasa hayo maridhiano mnataka nao ya nini?
Nashauri mridhiane na vile vyama 17 sijui kumi na sita ambavyo vilishindwa kuambulia hata 3% na bado watu wakauwawa. Kitu ambacho ni ajabu sana maana 97.7% ya Watanzania waliwachagua. Hao 2.3% ndiyo wanawasumbua?
 
Rejea mazungumzo ya Katibu mkuu wenu Mnyika, alinukuliwa akisema Chadema ipo tayari kufanya maridhiano endapo tu Lisu akiwa nje.
Huo ndio ulikuwa msimamo wa Chadema.
Hoja yangu ni kwamba, Kwa matendo ya Chadema sio tu hawana uhalali wa kufanya mazungumzo bali hakifai kuwa Chama cha siasa kilitakiwa kiwe kimefutwa.
 
Anaetaka maridhiano ni chadema au nyinyi mkuu?

Sio spika wenu aliyesema mama kainua mikono anataka wayaongee ila chadema hawataki???
 
Chadema walikuwa/ wamekuwa wakiomba maridhiano na Serikali ya CCM, lakini wananchi walio wengi hawaoni uhalali wa chadema kufanya mazungumzo ya maridhiano.
Bali chadema kinafaa lifutwe kabisa kama chama cha siasa.
Hujanijibu maswali yangu mkuu
 
Mnyika, alinukuliwa akisema Chadema ipo tayari kufanya maridhiano endapo tu Lisu akiwa nje.
Huo ndio ulikuwa msimamo wa Chadema
Nyie ndiyo mnamatatizo. Unalazimishaje uridhiane na mtu ambaye hajagombana na wewe? Mkiulizwa ugomvi wenu na CHADEMA ni KITU GANI unaweza kusema?

Kwa matendo ya Chadema sio tu hawana uhalali wa kufanya mazungumzo bali hakifai kuwa Chama cha siasa kilitakiwa kiwe kimefutwa.
Hayo matendo ya CHADEMA ni kama yapi? Yataje hapa.
 
Back
Top Bottom