amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania MKURUGENZI MKUU wa amani na umoja ya urasimishaji na uhamasishaji kuwa Kennedy Orinyo Nyamanga ni nani anayeweza kumpa nafasi

    Kama Kennedy Orinyo Nyamanga,ni raia anayependekezwa kuwania fursa ya mwanasheria na mwana jamii anayewania kuwa RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,na kuwa na amani ya viongozi wa viongozi wa amani na amani ya umoja wa watanzania,nami na amini wa Tanzania wana amini katika amani ya umoja wa...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Lema: Tusiilaumu Serikali, tuwe watu wa amani

    Katika zama hizi za kutekwa,kuuawa na kupotea kwa watu,Godbless Lema anasema tuwe watu wa amani sababu dawa ya muovu ni kuwa mtu wa amani kama Zito Kabwe alivyo mtu wa amani kwa Serikali ya sasa ambayo ilisababisha mauaji ya Oktoba 29,2025.Godbless Lema anasema wananchi waanzishe nguvu ya Umma...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mch Mbarikiwa Mwakipesile kupewa zawadi ya amani ya Nobel (the Nobel peace prize) 2027???

    Shikamooni,habarini..Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni miongoni mwa watu wachache wanaojipambanua kuihubiri INJILI ya kweli (INJILI kwa vitendo) duniani kote na pengine ni mhubiri pekee anayehubiri INJILI ya kweli pekee kwa Tanzania. Naandika kuwa atakuja kupata zawadi ya Nobel ya amani ambayo...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mch Mbarikiwa Mwakipesile kupewa zawadi ya amani ya Nobel (the Nobel peace prize) 2027???

    Shikamooni,habarini..Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni miongoni mwa watu wachache wanaojipambanua kuihubiri INJILI ya kweli (INJILI kwa vitendo) duniani kote na pengine ni mhubiri pekee anayehubiri INJILI ya kweli pekee kwa Tanzania. Naandika kuwa atakuja kupata zawadi ya Nobel ya amani ambayo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Unaijua diwani ya amani?

    Miongoni mwa vitu ambavyo unapaswa kufahamu kuhusu Diwani ya Amani ni kwamba hiki ndio kitabu pekee kilichochanganya aina zote za washairi wa zama hii waliohai. Humu ndani kuna wale washairi wakongwe wa A-list kutoka nchini Kenya kama Mzee Thomas Koskei, Mzee Mohamed Khamis wa Takaungu, Mzee...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kidini kuungana na vyama vya siasa katika kuhamasisha na kuchochea chuki na uhasama miongoni mwa waTz ni kukosa agenda au kuichoka amani?

    Baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere, aliwahi kusema, wanasiasa waliofilisika kisiasa, wasio na agenda au walioksa hoja, hutumia udini au ukabila wao kama silaha za kutafuta madaraka ya kisiasa. Je, baadhi ya taasisi za dini na vyama vya siasa vimeichoka zaidi amani kuliko waTanzania wote...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kaa ukijua malipo yapo. Unavyowatesa wengine yatakurudia wewe, na yasipokupata, kizazi chako hakitapata amani kikikutana na kizazi cha uliowatesa

    Kaa ukijua kuwa malipo yapo duniani. Unavyowatesa wengine leo, kuna siku unaweza kukutana na matokeo ya matendo yako. Na kama wewe hutayashuhudia, huenda kizazi chako kikakutana na matokeo ya maumivu uliyowasababishia wengine. Usimdharau mtu kwa sababu leo hana nguvu ya kukulipa. Usimnyanyase...
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Ongea na kamanda yaunganisha elimu ya Lishe bora na ulinzi wa Amani Rombo K'njaro

    Kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro Wananchi wapatao 300 wa Kata ya Manda na maeneo ya Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo, wamepata elimu kuhusu umuhimu wa lishe bora, matumizi ya vyakula vya asili, uzalendo na wajibu wa kila mwananchi katika kulinda amani na usalama wa nchi. Elimu hiyo...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje eti kufanya maridhano na chama ambacho kucha kutwa kina panga mikakati ya kuvunja amani ya Nchi?!!

    Hata kama ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani Chadema, lakini kwa mwenendo wake wa kichochezi inapoteza uhalali na sifa ya kufanya maridhiano. Haitakiwi kufanya maridhiano na genge la wahuni/ wahalifu magaidi wahaini. Tunaomba msajili wa vyama akifute mara moja chama cha Chadema kwamaslahi ya...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Siku ya pili ya viongozi wa dini kujadili amani

    Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika...
  11. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Deogratius Katai ametoa wito wa kuendelezwa kwa maombi, amani, maridhiano ya kweli, uwazi na utayari wa kupatana

    Padri Deogratius Katai wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Mathayo, Igombe, Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, ametoa wito wa kuendelezwa kwa maombi, amani na maridhiano ya kweli nchini, akisisitiza umuhimu wa kukabiliana na changamoto zilizopo kwa uwazi na utayari wa kupatana. Padri Katai ametoa wito...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani yetu, tunu yetu

  14. A

    JamiiForums Tanzania Heche mkutanoni Nzega: Haya tunayoyadai wengine kina Kabila wanaingia misituni kuyatafuta. Sisi tunayadai kwa amani mnatuua!

    John Heche, Tabora Haya tunayodai wengine kina Kabila wanayatafutia wakiwa misituni. Sisi ni chama cha amani lakini bado mnatuwinda, mnatuua! ################# Maoni yangu SERIKALI NA WATANGANYIKA Mmewahi kujiuliza, hivi huko Congo, Sudan, Somali, nk nk nk Silaha zilifika fikaje kwenye...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani ni msingi wa maendeleo, mshikamano ni nguvu ya taifa letu!

    Tanzania ni yetu sote. Tunatoka katika makabila, dini, mitazamo na maeneo tofauti, lakini sote tunaunganishwa na uzalendo na upendo kwa nchi yetu. Tofauti zetu hazipaswi kuwa chanzo cha chuki na migawanyiko, bali ziwe fursa ya kujifunza, kuheshimiana na kujenga umoja wetu. Tudumishe amani...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani ni msingi wa maendeleo ya taifa letu

    Tanzania ni nyumba yetu sote. Tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kiitikadi zisituondolee utu, umoja na upendo tuliojenga kama taifa. Tuheshimiane, tusikilize maoni ya wengine, tutatue tofauti zetu kwa mazungumzo na tuepuke vitendo vya uchochezi na vurugu. Tuilinde amani, tudumishe umoja na...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus, Sehemu ya Mwisho

    li kuelewa kikamilifu kwa nini Umoja wa Mataifa umegeuka kuwa Circus na mbwa asiye na meno, ni lazima kutazama ubaguzi wa kimfumo na mgawanyo wa madaraka ndani ya Baraza la Usalama la UN (UNSC). Kwa kawaida kuna mataifa matano zenye kura ya turufu maarufu kama (P5)— Marekani, Uingereza...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus

    Tathmini ya kina ya mfumo wa ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa (UN) inapofanyika katika maeneo yenye migogoro mikali duniani, sura halisi inayojitokeza sio ile ya alama ya tawi la mzeituni au kofia ya bluu inayowakilisha matumaini na uokozi. Badala yake, ukweli mchungu unaodhihirika ni kwamba...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANG’ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Inaonekana kama ubinafsi mpaka pale utakapoona kiasi cha amani ambacho ushauri huu utakurudishia

    Huu ni ushauri murua wa kiroho utakaokuzindua hisia 1. Kuwa mbinafsi na nguvu/nishati yako. Mimi Ilinichukua miaka mingi kujifunza hili: Acha kuwa entatain watu wanaokupa makombo tu. Kilichokusudiwa kwa ajili yako hakitahitaji kutumia ili kije kwako, kwa hiyo ikiwa hakiendi vyema...
Back
Top Bottom