PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera​

Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee tena huo wito mwangalie kama hapa kuna amani katika nchi yetu taifa letu, na kama huo wito ni kufukua makaburi au kuvuruga amani ya taifa letu.

Silaha yetu ni sala na maombi. Kuadhimisha kwa sala na maombi ni kuvuruga amani ya nchi? Naawauliza nyinyi ni kuvuruga amani ya nchi? Kuombea marehemu waliofariki siku hiyo ni kuvuruga amani ya nchi? Kuombea taifa amani, haki na amani ni kuvuruga amani ya nchi?

Naomba mkuje tusali misa hizo na jioni rosari tutekeleze huo wito wa kuombea amani yetu. Sasa napenda niwasomee huo wito mwangalie kama kweli ni tamuko la kuvuruga amani ya nchi, wito wa kuvuruga nchi yetu, nasomea mzungatie.

Silaha pekee yetu Wakatoliki si mabomu, si mizinga, si bunduki, si mabomu ya machozi, ni sala. Njoo tusali hata siku hiyo mkikutana na mabomu ya machozi au ya moto kama siku ile ya Oktoba 29 njoo tusali. Hakuna linalosadikika kwa sala kwa moyo."

Pia soma:
~Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouawa 29 Oktoba 2025
~
Makanisa ya CCT kuwakumbuka waliouawa, kumwaga damu Oktoba 29, 2025
 
Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno kuona askofu anahubiri uchochezi, kuona askofu anachochea vurugu aisee so painful 😭😭😭
 
Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno.
Kwenda kanisani ni uovu?
 
Mnaojaribu kupambana na kanisa katoliki kaeni chini msome na mtafakari historia na muundo wake. Ukomunist ilianguka huko ulaya mashariki kwa kujaribu kupigana na kanisa katoliki, kanisa lina mizizi dunia nzima, hadi umoja wa mtaifa lina mwakilishi wa kudumu. Sasa wewe chawa wa Samia na keyboard yako ya simu ya mkopo utaweza?
 
Mnaojaribu kupambana na kanisa katoliki kaeni chini msome na mtafakari historia na muundo wake. Ukimunist ilianguka huko ukata mashariki kwa kujaribu kupigana na kanisa katoliki, kanisa lina mizizi dunia nzima, hadi umoja wa mtaifa lina mwakilishi wa kudumu. Sasa wewe chawa wa Samia na keyboard yako ya simu ya mkopo utaweza?
Hatupambani ila tunawaambia kuwa hayo wanayofanya wanajisumbua, sijawahi ona maaskofu wa kishetani kama Hawa, yani muda wote ni kuhubiri uchochezi tupu
 
Hii nchi ina baadhi ya watu wenye akili ndogo na ndio hao huwa wanapotosha viongozi wetu. Kama mimi ningekuwa kiongozi wa serikali ningewaunga mkono katoliki na ningewaomba viongozi wa dini nyingine wafuate mfano wao. Kwa sababu watu wakienda makanisani na misikitini kwa wingi siku hiyo itaondoa kabisa au itapunguza idadi ya watu wenye mtizamo wa kufanya maandamano. Kwa sababu sitaki kuamini kuwa mtu atakayeenda kanisani au msikitini siku hiyo akapta neno la Mungu vizuri halafu aandamane.

Na sio siri kuwa ni kweli watu walikufa kwenye maandamano na kati yao waliokufa wapo waamini wa kanisa katoliki na kanisa katoliki linaamini katika kuwaombea wafu sasa hapo tatizo linatoka wapi. Na kila mtu kwa imani yake au nafsi yake huwa anafanya ibada ya kukumbuka na kuenzi ndugu zake waliotangulia mbele za haki kwa kufanya ibada kadiri anavyoona yeye mwenyewe inavyofaa.

Kama kuna kiongozi yoyote wa dini akithibitika kutumia mwanya huo kuhamsisha maandamano basi akamatwe yeye kama yeye na achukuliwe hatua yeye binafsi badala ya kukaa tu kutunga uongo kuwa dini fulani inataka kuleta vurugu. Hebu wakati mwingine tuwe positive ili kuondoa taharuki zisizo na msingi.

Ni mtizamo tu.
 
Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno.
uko sahihi 100% gentleman,
naunga mkono hoja,

hao wamelemewa na wajibu wao wa kueneza neno la Mungu na wamegeukia wajibu wa kishetani wa kuhamasisha na kuchochea chuki, ghasia, mafarakano na maafa kazi ambayo ni ya kishetani purely.

Kwahiyo wanaexpose ushetani wao kwasasa:pulpTRAVOLTA:
 
Hatupambani ila tunawaambia kuwa hayo wanayofanya wanajisumbua, sijawahi ona maaskofu wa kishetani kama Hawa, yani muda wote ni kuhubiri uchochezi tupu
Ni sheria ipi ambayo wanavunja? Maana uzi mzima ni mamalamiko yaliyo baseless hayana msingi hata ulalamikia nini

Kwanza unaonekana hujui taratibi za kanisa katoliki, ni kawaida yao kuombwa wafu na wanasala maalumu kabisa. Hii ipo mika na miaka
 
Hii nchi ina baadhi ya watu wenye akili ndogo na ndio hao huwa wanapotosha viongozi wetu. Kama mimi ningekuwa kiongozi wa serikali ningewaunga mkono katoliki na ningewaomba viongozi wa dini nyingine wafuate mfano wao. Kwa sababu watu wakienda makanisani na misikitini kwa wingi siku hiyo itaondoa kabisa au itapunguza idadi ya watu wenye mtizamo wa kufanya maandamano. Kwa sababu sitaki kuamini kuwa mtu atakayeenda kanisani au msikitini siku hiyo akapta neno la Mungu vizuri halafu aandamane.

Na sio siri kuwa ni kweli watu walikufa kwenye maandamano na kati yao waliokufa wapo waamini wa kanisa katoliki na kanisa katoliki linaamini katika kuwaombea wafu sasa hapo tatizo linatoka wapi. Na kila mtu kwa imani yake au nafsi yake huwa anafanya ibada ya kukumbuka na kuenzi ndugu zake waliotangulia mbele za haki kwa kufanya ibada kadiri anavyoona yeye mwenyewe inavyofaa.

Kama kuna kiongozi yoyote wa dini akithibitika kutumia mwanya huo kuhamsisha maandamano basi akamatwe yeye kama yeye na achukuliwe hatua yeye binafsi badala ya kukaa tu kutunga uongo kuwa dini fulani inataka kuleta vurugu. Hebu wakati mwingine tuwe positive ili kuondoa taharuki zisizo na msingi.

Ni mtizamo tu.
Jiulize kwanin huo ujinga unafanywa na maaskofu wa kikatoliki tu?
 
Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno kuona askofu anahubiri uchochezi, kuona askofu anachochea vurugu aisee so painful 😭😭😭
Wewe msengenini nenda kwa basha wako huko mtoto wa kiume unakuaje na lugha ya hivi bwabwanini
 
Back
Top Bottom