nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari kujaa TISS na watanganyika kushika nafasi za juu katika JWTZ na Polisi?

    Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari wengi kujiunga na kufanya kazi katika TISS (Idara ya Usalama wa Taifa) na Watanzania kutoka Bara kushika nafasi za juu za uongozi katika JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) na Jeshi la Polisi?
  2. projectman

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kutoka kampuni ya QTS-QUICK TRACK SOLUTIONS LIMITED (Fumigation)

    Nafasi za kazi kotuka kampuni ya quick track solutions limited katika Nafasi zifuatazo. 1. Fumigation 2. Marketing 3. Project Leader SIFA ZA MUOMBAJI 1. Lazima awe amesomea au anao ujuzi unaohusiana na fumigation and pest control 2. Umri usiopungua miaka 21 3. mkazi wa Dar es salaam 4...
  3. O

    JamiiForums Tanzania MKURUGENZI MKUU wa amani na umoja ya urasimishaji na uhamasishaji kuwa Kennedy Orinyo Nyamanga ni nani anayeweza kumpa nafasi

    Kama Kennedy Orinyo Nyamanga,ni raia anayependekezwa kuwania fursa ya mwanasheria na mwana jamii anayewania kuwa RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,na kuwa na amani ya viongozi wa viongozi wa amani na amani ya umoja wa watanzania,nami na amini wa Tanzania wana amini katika amani ya umoja wa...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ningelipata nafasi ya urais,ningekaeibisha wazungu kuhamia nchini.

    Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere, Mtu mweusi na tabia zake...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  6. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI UAE, OMBA SASA KAMA VIGEZO UNAVYO

    📢 TANGAZO LA AJIRA ABU DHABI – UAE 🇹🇿 CHAMA CHA MAFUNDI TANZANIA (CMT) CMT inawatangazia mafundi wote fursa za ajira nchini Abu Dhabi ⚠️ MUHIMU SANA: Kigezo namba moja ni kuhakikisha umejiunga na mfumo wetu wa chama kupitia www.cmt.co.tz .Kama bado hujajiunga hujachelewa bado jiunge leo na...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Dk Nchimbi hajashikiliwa kizuizini kesho tumuone kanisani na waumini wenzaje kisha apewe nafasi ya kusalimia

    Dk Nchimbi ni mkatoliki anapenda kwenda kanisani. Kama hajawekwa kizuizini kibabe huku akionyeshwa bastola basi kama ilivyozoeleka mruhusuni aende kanisani na kisha asalimie waumini na kutoa neno nini kilimsibu.
  8. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kama unaendana na hizi sifa wahi hii nafasi kabla wenzako hawajaichukua

    Mimi ni sijui kijana au mzee nina umri wa miaka 29. Natafuta mwanamke ambaye atakuwa rafiki yangu na kama nitamwona ana vigezo basi awe mke wangu. Awe mzuri sana,awe na shape, awe na uelewa mkubwa wa mambo na elimu pia. Mimi nipo vizuri na sifa zangu hizi hapa. 1. Dereva boda boda mashughuri...
  9. barakachaplin

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: dereva wa malori (Truck driver)

    NAFASI YA KAZI: DEREVA WA MALORI (TRUCK DRIVER) Kampuni: Multflex General Supplies Limited Mahali pa Kazi: Mwanza, Tanzania Idara: Usafirishaji na Usambazaji (Transport & Logistics) Aina ya Kazi: Ajira ya Muda Wote (Full-Time) Barua Pepe ya Maombi: [email protected] Kuhusu Kampuni...
  10. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Vijana na Uchaguzi wa 2030: Funzo kutoka kwa Jihan

    Great Thinkers, Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 6 Duniani kwa watu ambao wanaoishi na umasikini

    Taasisi ya World Data Lab imetoa takwimu mpya zinazoonyesha nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi katika hali ya umaskini uliokithiri duniani kwa mwaka 2026. Kulingana na data hizo, Nigeria inongoza orodha hiyo kwa kuwa na watu milioni 73.1 wanaoishi katika umaskini uliokithiri...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya sita kwa kuwa na masikini wengi zaidi Duniani

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya World Data Lab umeitaja Tanzania kuwa nchi ya sita katika orodha ya nchi ambazo watu wake wanaishi kwenye umaskini uliopindukia (extreme poverty). Lakini wiki iliyopita serikali ilitangaza kuuza hatifungani (bond) ya miaka 25 ambayo ilikuwa inalipa kiwango cha...
  13. D

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI

    📢 TANGAZO LA NAFASI YA KAZI NAFASI YA KAZI: MHudumu WA MASSAGE (WA KIKE) Tunatafuta mfanyakazi wa kike mwenye uzoefu wa kutoa huduma za massage katika eneo la Masaki, Dar es Salaam. 📍 Eneo la kazi: Masaki 💰 Mshahara: Tsh 950,000/= kwa mwezi 🕗 Muda wa kazi: Saa 8:00 asubuhi hadi saa 8:00...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, Mchengerwa anaandaliwa nafasi ya juu CCM? Na ndio mrithi wa Balozi Migiro kwenye ukatibu Mkuu wa CCM?

    Nimeanza kutafakari kwa jicho la tatu la yajayo katika Siasa za CCM, na kuishia kujiuliza swali hilo juu. Hapo ndio namuona kiongozi mwenye kukemea rushwa na ufisadi ndani ya CCM kwa nafasi ya mtendaji Mkuu wa Chama. Kwa jicho la tatu unaona kauli ya Mchengerwa imekuja wakati sahihi ambapo...
  15. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania inashika nafasi ya 12 kwa uchumi barani Africa

    Tanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika. Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026. Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania jihan karudi nyumbani, sasa wenye chuki na unity wajaze nafasi zilizo wazi

    Hahaha, hii ndiyo Tanzania bana kubabeki, raha tupu! Tumempokea Jihan, tumeshangilia ushindi wake na kusema huyu ni wetu, Tanzania imetisha Wale wasiopenda unity watajaza nafasi zilizo wazi wenyewe sisi tumepitisha, na tunampenda mwenzetu pamoja na nchi yetu. Sisi tunaitangaza Tanzania kwa...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anateyeuliwa kushika nafasi fulani, bila kumfahamu, historia yake, ni HATARI

    KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya. Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
Back
Top Bottom