Vijana na Uchaguzi wa 2030: Funzo kutoka kwa Jihan

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,612
Reaction score
16,189
Great Thinkers,

Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo inaonesha uwezo wao wa kuunganisha nguvu na kusukuma jambo hadi likafanikiwa.

Jihan mwenyewe alionesha uzuri, kujiamini, hekima na akili. Uhamasishaji uliomzunguka ukaongeza nguvu katika safari yake. Hapa kuna ujumbe kwa viongozi: ukitaka jambo lako lifanikiwe, washirikishe vijana kwa dhati, wape nafasi na sababu ya kuliamini.

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2030, kwa mtazamo wangu, bado sioni mwanasiasa aliyejenga ushawishi mpana na wa kudumu kwa vijana. Kwa mbali, Makamu wa Rais, Mh. Ndejembi anaonesha dalili za kuelekea huko. Kwa Waziri Mkuu Mh. Mwigulu, sioni tena mvuto wa awali; kwa Waziri wa Vijana Mh. Nanauka, bado sijashawishika na anachowasilisha, maana ni kama motivational speaker. Zaidi Vijana inaonekana wanavutiwa pia na maono na uwazi ninaouona katika mazungumzo ya Makamu wa Rais, Mh. Ndenjembi. Hata hivyo, kipimo cha uongozi kitabaki kuwa matendo.

Swali kubwa ni hili: nani ataweza kuunganisha nguvu hii ya vijana bila kuwageuza machawa? Ushirikishwaji wa maana unawapa vijana nafasi ya kufikiri, kukosoa, kubuni na kushiriki maamuzi. Funzo la Jihan lina uzito kuelekea 2030: vijana wakiamini jambo, wanaweza kulibeba kwa nguvu kubwa. Wanastahili kuaminika pia kama washirika wenye sauti na uhuru wa mawazo.

Nawasilisha, Hongera sana mpendwa Wetu Jihan Dimack, Mungu akutunze sana sana na Kukubariki.
 
Nakubali mkuu! Mungu akubariki Sana Kwa Msaada wako, kipindi kile 2022, hakika watu wema bado wapo
 
Kwahiyo akili wanazo wanaccm tuu! Uchambuzi wa kijinga.
 
Funzo la Jihan
Usimtumie huyu manzi tena kwenye uwasilishaji wako wa mada wengine ukitajataja hilo jina tunasikia kichefuchefu tunajisikia kutapika tafadhari sana mkuu, nimekuita kwa heshima nikiwa na maana..

Kuhusu Joel Nanauka ni basi tu ila anachofanya anaenda opposite na vile ambavyo vijana wengi walivyofikiria au walivyokua wanataka na ndio maana aliingia kwa shangwe kubwa ni sawa mtu achaguliwe kwa ajili ya wengi ila yeye anapoingia kutekeleza jambo hilo yeye anafanya kwa ajili ya wale tu waliopo ndani ya circle yake kwa hio ameingia na watu wake wale waliokua wanahudhuria na kulipia seminar zake sio vinginevyo in short tunaweza sema ana watu wake na amechagua namna yake ya kufanya nao kazi sio zaidi ya hapo..

Unapozungumza kuhusu Deo Ndejembi pia bado sana sababu unajua inabidi ufahamu ya kua kuna tofauti kubwa kati kusema na kufanya kwa hio usiridhishwe moja kwa moja na kile kinachosemwa hususani na mwanasiasa sababu kinachosemwa si sawa na kinachofanywa anaweza akasema hivi kisha akafanya vile

Tukirudi kwa Mwigulu hapo maelezo ni mengi sana ila kwa leo sitosema chochote ngoja niache km ilivyo

Kuna mtu mmoja wewe hujamuelezea wala haujamtaja anaitwa DAB ambae amekaa kwenye wizara nyeti inayowaunganisha vijana huyu bwana yeye yupo kimkakati na kwa watu wasio na macho ya kuona mbali hawawezi kumuelewa ametarget nini, anataka kufanya nini na anataka kua nani na wasipomuwahi atawawahi
 
Great Thinkers,

Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo inaonesha uwezo wao wa kuunganisha nguvu na kusukuma jambo hadi likafanikiwa.

Jihan mwenyewe alionesha uzuri, kujiamini, hekima na akili. Uhamasishaji uliomzunguka ukaongeza nguvu katika safari yake. Hapa kuna ujumbe kwa viongozi: ukitaka jambo lako lifanikiwe, washirikishe vijana kwa dhati, wape nafasi na sababu ya kuliamini.

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2030, kwa mtazamo wangu, bado sioni mwanasiasa aliyejenga ushawishi mpana na wa kudumu kwa vijana. Kwa mbali, Makamu wa Rais, Mh. Ndejembi anaonesha dalili za kuelekea huko. Kwa Waziri Mkuu Mh. Mwigulu, sioni tena mvuto wa awali; kwa Waziri wa Vijana Mh. Nanauka, bado sijashawishika na anachowasilisha, maana ni kama motivational speaker. Zaidi Vijana inaonekana wanavutiwa pia na maono na uwazi ninaouona katika mazungumzo ya Makamu wa Rais, Mh. Ndenjembi. Hata hivyo, kipimo cha uongozi kitabaki kuwa matendo.

Swali kubwa ni hili: nani ataweza kuunganisha nguvu hii ya vijana bila kuwageuza machawa? Ushirikishwaji wa maana unawapa vijana nafasi ya kufikiri, kukosoa, kubuni na kushiriki maamuzi. Funzo la Jihan lina uzito kuelekea 2030: vijana wakiamini jambo, wanaweza kulibeba kwa nguvu kubwa. Wanastahili kuaminika pia kama washirika wenye sauti na uhuru wa mawazo.

Nawasilisha, Hongera sana mpendwa Wetu Jihan Dimack, Mungu akutunze sana sana na Kukubariki.
Niwahakikishie tu waTanzania na wadau wote wa JF kwamba,
huenda mgombea urais wa CCM akapata ushindi wa kishindo cha 100% kwenye uchaguzi mkuu Oct 2030.🐒
 
Ccm ni genge la wapumbavu ndio maana limepuuzwa na kila mwenye akili.
 
Lipigwa miti
Ushinde asilimia 100 Yani huna haters kabisa? Sukari na asali ni tamu na inapendwa lakini siyo na watu wote,mdudu 🐷anapendwa na wengi lakini siyo watu wote.Sasa wewe wa kupendwa na kukubalika na watu wote utakuwa nani?
 
Back
Top Bottom