uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Demekrasi wanaongoza katika uchaguzi wa Seneti Trump kaishaanza kulalamika anaibiwa kura

    Wanaukumbi. 🚨🇺🇸 WADEMOKRASIA WANAONGOZA KATIKA MAENEO YOTE 7 YENYE USHINDANI MKALI KWA AJILI YA SENETI YALIYOONESHWA HAPA Michigan: D+11 Texas: D+7 Maine: D+6 Ohio: D+6 Kansas: D+5 Alaska: D+1 Iowa: D+1 Grafu hiyo inaonesha uwezekano wa Wademokrasia kuongeza idadi ya viti vyao vya Seneti...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yako sawa licha ya tuhuma!!

    Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yatasimama licha ya tuhuma kubwa za ufadhili wa kigeni unaolenga kushawishi kura. Katika taarifa ya pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara na mkuu wa Shin Bet David Zini, Sohlberg anasema madai hayo ni mazito lakini...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania TFF yaruhusu mchakato wa Uchaguzi Simba SC uendelee

    Taarifa ya TFF kwa vyombo vya habari imeruhusu mchakato wa Uchaguzi Simba SC uendekee. Kwa wale ambao hamjaelewa ni kuwa Uchaguzi wa Simba Sports Club kufanyika Januari 3, 2027. Utasimamiwa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF kwa kushirikiana na menejimenti ya Simba. Leja Ipo msijali. Huyu Mangungu...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi wa katikati huko Marekani Trump kuamua kuichapa tena Iran!!

    Marekani: Rais Donald Trump anapanga kuanzisha upya mashambulizi dhidi ya Iran baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula, inaripoti MS NOW. Maafisa watatu wa ngazi ya juu kutoka mataifa ya Kiarabu ya Ghuba, wakizungumza kwa sharti la kutotajwa majina, waliambia chombo hicho cha habari kuwa utawala...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanauliza swali kwanini wale wapemba waliouliwa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 Wakatholiki hawa kuwaombea ,Hii inaitwaje

    Yaani katholiki Sasa limekuwa ni dude kubwa kweli kila baya litapakaziwa. Ila niwaambie hamliwezi Just imagine muislamu na machawa wenye chuki na wakatholiki Leo wanahoji Kwa nini hawakuwaombea waliouwawa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 kule pemba. Au mauaji ya mwembe chai. Je waislamu...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Flavio Bolsonaro akimbilia Marekani baada ya kushindwa Uchaguzi Brazil

    Huyu ni kibaraka aliyeangushwa na nguvu ya wazalendo wa brazil wakiongozwa na Lula da silva
  8. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Rais amebakiza miaka mitatu, ya kazi na wa nne ni wa uchaguzi, tuvumilie hili nalo litapita

    Miaka miwili na siku 364 zimebaki
  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Anatomia ya Usaliti: Mwaka Mmoja wa Uchaguzi wa Mchongo, Samjo Samjo za Ikulu na Falsafa ya Watawala wasio na dhamiri

    Picha : Mwanga wa kumbukumbu katikati ya giza kuu: Mwaka mmoja tangu mioyo ya watanzania ilipojeruhiwa na dhihaka ya demokrasia. Leo imetumia rasmi mwaka mmoja tangu Taifa hili lishuhudie kile kinachobaki kuwa kovu kubwa la kisiasa katika kizazi chetu—Uchaguzi wa Mchongo wa Oktoba 29, 2025...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Uchaguzi uliotangazwa Simba ni batili

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amesema mchakato wa uchaguzi, Tume ya Uchaguzi pamoja na Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliotangazwa kufanyika Januari 3, 2027, ni batili na haramu. Mangungu ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 29, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa habari Jijini...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Kanisa lilionya kutofanya uchaguzi kabla ya kurekebisha kasoro za uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania REF: 29.10.2025, Tanzania bado inahitaji Uchaguzi?

    Salaam, Watawala wana yao moyoni.. Hawatosheki na wanachopata. Wizi wa kura, kuenguliwa wagombea, Waggombea kunyimwa fomu za kuomba kuchaguliwa, wagombea kunyanyaswa na Polisi, Mauaji na Utekaji kwa Wagombea wenza wa vyama mbadala mfano CHADEMA Matumizi ya Bunduki dhidi ya wagombea...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa Mamdani natabiri Dr Abdul El sayed na Ilhan omar watashinda uchaguzi kwa kishindo

    Mayor wa Newyork Mamdani wakati anagombania apate u-mayor,reps wakiongozwa na D.Trump walimshambulia kisiasa na propaganda nyingi kama vile ni jihadist,muslim brotherhood nk ..lakini mwishowe alishinda kiti cha umeya na leo hii siku yake ya birthday inasherehekewa widely Newyork anakubalika...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Pambalu utaiondoaje serikali ya CCM bila kushiriki uchaguzi wa October 29, 2025?, Kazi unayo

    Hebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli. Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani...
  15. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania TANZANIA BAADA YA SAMIA: JE, NI WAKATI WA KUJADILI SERIKALI YA MPITO NA UCHAGUZI KABLA YA 2030?

    Katika siasa, hakuna uongozi unaopaswa kuonekana kuwa mkubwa kuliko taifa lenyewe. Viongozi huja na kuondoka, lakini nchi inabaki. Ndiyo maana Watanzania wanapaswa kuanza kufikiria kwa kina kuhusu mustakabali wa taifa, namna ya kujenga taasisi imara na jinsi ya kuhakikisha kwamba mabadiliko...
  16. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Vijana na Uchaguzi wa 2030: Funzo kutoka kwa Jihan

    Great Thinkers, Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo...
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Nafikiri kama tunaenda kwenye uchaguzi huru na haki Ccm wampe Makongoro awe Mgombea wao

    Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua . Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana Thanks
  19. M

    JamiiForums Tanzania Historia mbadala: Hivi ingekuwaje kama UKAWA wangeshinda uchaguzi mkuu wa 2015

    Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa na ushindani sana mgombea wa CCM alipata kura milioni 6.8 na ule wa ukawa alipata milioni 6. Hivi vipi kama kwenye ule uchaguzi UKAWA wangeshinda urais na kupata majimbo mengi zaidi leo Tanzania ingekuwaje Kwenye nyanja za 1. Miundombinu 2. Demokrasia 3...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Minyonyaji haiwezi kukubali change, ndiyo maana haitaki Katiba MPYA na mfumo mzuri wa uchaguzi

    Hili ni kweli. Minyonyaji iliyoshiba ndiyo michawa inaogopa Katiba moya. Msikilize Mwalimu Nyerere
Back
Top Bottom