son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Mayor wa Newyork Mamdani wakati anagombania apate u-mayor,reps wakiongozwa na D.Trump walimshambulia kisiasa na propaganda nyingi kama vile ni jihadist,muslim brotherhood nk
..lakini mwishowe alishinda kiti cha umeya na leo hii siku yake ya birthday inasherehekewa widely Newyork anakubalika.
Hibo hivo kwa Dr.Abdul El sayed saizi kuna propaganda Trump anaieneza ya kwamba Dkt Abdul El sayeed ni muslim brotherhood ,ni jihadist na propaganda nyingi lakini hadi sasa kwenye polls El sayed kamuacha mbali mike rogers
Mwana dada Ilhan omar vita yake pia atashinda licha ya propaganda za uchaguzi kuelekezwa kwak na mpinzani wake mkuu D Trump na kupewa shutuma kibao
-