Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Lula kashinda Uchaguzi Brazil mbona kimyaaa hakuna Habari BBC hata jukwaani hakuna mwenye kufungua Uzi???????
Kacheki upya bbc , nansi tu brazil mpaka serbia
Lula kashinda Uchaguzi Brazil mbona kimyaaa hakuna Habari BBC hata jukwaani hakuna mwenye kufungua Uzi???????
Kama unataka isiwe hivyo ila vinahusiana sanaUlichoandika hakihusiani na nilichoandika.
Angeshinda Bolsonaro mdogo ingekua habari kubwa maana ingekua comeback kubwa sana pengine kuliko ya Trump 2024.Lula kashinda Uchaguzi Brazil mbona kimyaaa hakuna Habari BBC hata jukwaani hakuna mwenye kufungua Uzi???????