Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa na ushindani sana mgombea wa CCM alipata kura milioni 6.8 na ule wa ukawa alipata milioni 6.
Hivi vipi kama kwenye ule uchaguzi UKAWA wangeshinda urais na kupata majimbo mengi zaidi leo Tanzania ingekuwaje
Kwenye nyanja za
1. Miundombinu
2. Demokrasia
3. Uchumi (Je wananchi wangekuwa na hali nzuri zaidi)
4. Masuala ya elimu, afya n.k
Hali ingekuwaje leo hii