Pambalu utaiondoaje serikali ya CCM bila kushiriki uchaguzi wa October 29, 2025?, Kazi unayo

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Hebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli.

Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani nyingine ya kuiwezesha chadema kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili walete mabadiliko ya kweli?

Je, Ni njia gani nyingine (badala ya kushiriki uchaguzi) walikusudia kuitumia ili kuiondoa serikali ya CCM madarakani?

Je, hotuba yake hii hapa haikutosha kuitishia serikali ya CCM kuanguka?

Je, vurugu za October 29, 2025 ndio njia yao madhubuti mbadala (kuliko uchaguzi) ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani?

Je, Kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ili akajieleze mbele ya chombo cha haki ameonewa?

View: https://youtu.be/I4aMQbJJoO4?si=zUH3Wxdc3rLVTIpU

View: https://youtu.be/IFI32sm3uK4?si=_Tl8ib4x9iws0-YC
 
Huyu kijana tangu atoke Nairobi alikokua kafichwa na maria sarung kichwa yake imeharibika kabisa aise🐒
 
Wakati anasema hayo, uchaguzi ulikuwa umeshapita?
Tumemfuatilia kwa karibu kule Kenya. Kazi kubwa ilikuwa kusajili vijana na kuendesha mafunzo ya namna ya kufanya vurugu za kuiangusha serikali ya CCM ama siku ya Oct29, 2026 au siku ya hukumu. Nani hajui kama ziara za Heche ni kuandaa vurugu kubwa zaidi kuliko zile?
 
Muundo wa CCM, haiwezekani kuiondoa madarakani kupitia Democrasia!
CCM ni Dola,sio chama cha Siasa!
 
Hebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli.

Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani nyingine ya kuiwezesha chadema kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili walete mabadiliko ya kweli?

Je, Ni njia gani nyingine (badala ya kushiriki uchaguzi) walikusudia kuitumia ili kuiondoa serikali ya CCM madarakani?

Je, hotuba yake hii hapa haikutosha kuitishia serikali ya CCM kuanguka?

Je, vurugu za October 29, 2025 ndio njia yao madhubuti mbadala (kuliko uchaguzi) ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani?

Je, Kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ili akajieleze mbele ya chombo cha haki ameonewa?

View: https://youtu.be/I4aMQbJJoO4?si=zUH3Wxdc3rLVTIpU

View: https://youtu.be/IFI32sm3uK4?si=_Tl8ib4x9iws0-YC

Kuwa mpole we kada hakuna uhaini pale
 
Vilaza hamjawahi kuwa na akili
Yaani intellegensia yoooote taifa iliyonayo ishindwe kugundua Pambalu, chadema na wale wengine wanawaza na kupanga nini. Unadhani taifa linaongozwa na vilaza kama nyie?

Subiri utaona kazi ya intelijensia yetu ilivyo mahiri.
 
Wewe ni nani wa kuisemea mahakama?...
Kuiondoà serikali bila kushiriki uchaguzi kunahitaji hadi uwe mwanasheria ili kujua maana yake?

Serikali inacheza n wahaini.
 
Nchi hii imejaa upumbuvu mwingi,matumizi mabaya ya rasilimali za nchi over nothing!
Huyu maama yuko so insecure,ni kubambikizia watu kesi za ugaidi/Uhaini!
 
Kama kungekuwa na matumizi mabaya shule, hospitali, mikopo ya wanafunzi, reli, barabara, madaraja, mabwawa, umeme nchi nzima, kulipa watumishi, askari, mahakama, majaji, wabunge, maji, meli, viwanja vya mpira, pembejeo kwa wakulima, nk vingegharamiwa na nini? Hayo wadanganye wavuta bangi wenzako kijiweni kuwa hakuna lolote serikali imefanya hela zinaliwa tu. Unadhani watz wote ni wavuta misuba hawajui serikali yao inafanya nini na kodi zetu?

Kama ufaransa wanalalamika hali mbaya sembuse sisi bhana?
 
Kijana Pambalu alijua kuwa kwakusema vile lazima atakamatwa tu ili asiwepo (ajivunje) wakati wa kukinukisha. Baadae atadai nilikuwa ndani sikuhusiki na vurugu. Lakini sisi tunafahamu yeye alikuwa Kenya kusuka mipango ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani kqa njia haramu.
 
Back
Top Bottom