Pambalu utaiondoaje serikali ya CCM bila kushiriki uchaguzi wa October 29, 2025?, Kazi unayo

Nchimbi nae yupo polepole , ben saanane mdude wote wapo kabisa!
Nikwambie kitu bro!! Ukiona mtu ametekwa ana jambo kubwa mno mno mno kafanya ama kwenye jamii anakoishi, anakofanyakazi au hatarishi kwa taifa. Hata aliyetekwa atakuwa anamjua aliyemteka na sababu ya kumteka.

Hebu nikuulize, hakuna watu wanaogombea wanawake, viwanja, nyumba, watoto, waliodhulumiana, wanaotuhumiana kurogana, kutoa siri, nk? Je, hapa nchini hakuna vibaraka wa mataifa mengine? Hakuna watu wanataka kuipindua serikali? Hakuna majangiri wanaoua tembo na faru? Hakuna mapapa wa madawa ya kulevya?

Wote hawa hapo juu kama wakibainika watatekwa wakati wowote.
 
Nikwambie kitu jamaa hizi sababu msizitumie tena zilishapuuzwa hata na watoto wadogo tafadhari achana na mimi tu hata mdogo wangu form one hakubaliani na majibu haya sio utani nakwambia
 
Hao ambao walikuwa wanasombwa mkoa mzima!😃😃
OOh kumbee!! sasa wakisombwa kuna ubaya gani? Yaani waje kwa miguu au? CCM sio chama cha tonetone wacha wapewe usafiri wa kwenda na kurudi na posho juu ikiwezekana.

Hoja ni je, hawa hawakupiga kura kwakuwa walisombwa?
 
Nikwambie kitu jamaa hizi sababu msizitumie tena zilishapuuzwa hata na watoto wadogo tafadhari achana na mimi tu hata mdogo wangu form one hakubaliani na majibu haya sio utani nakwambia
We zipuuze tu hizi sababu kwamba hazipo. Hebu jichanganye. Hukuwepo wakati albino wakipotea, wakikatwa viungo? Hukuwepo wafanyabiashara ya madini wakiuliwa?

Kwenye kulinda dola kelele zote zitapuuzwa. Mama mkanye mwanao jr.
 
OOh kumbee!! sasa wakisombwa kuna ubaya gani? Yaani waje kwa miguu au? CCM sio chama cha tonetone wacha wapewe usafiri wa kwenda na kurudi na posho juu ikiwezekana.

Hoja ni je, hawa hawakupiga kura kwakuwa walisombwa?
Wanasombwa ili mikutano ionekane imejaa!Ilitakiwa mikutano iwakute kwenye wilaya zao!Huo ni udanganyifu!
 
Wanachotakiwa wapige kura siku ya kupiga kura. Chadema kwenye mikutano yao wanajaa vijana ambao hawana muda wa kupiga kura kwa sababu mbalimbali ikiwemo bange, viroba, hesabu ya tajiri na wasioona umuhimu wa kukaa foleni na kupiga kura.

Watu wanaohudhuria mikutano ya chadema wengi wanakwenda kushangaa tu, na ni haohao wanaokwenda kushangaa kwenye mikutano ya ACT, CCM, CHAUMA.
 
Wanasombwa ili mikutano ionekane imejaa!Ilitakiwa mikutano iwakute kwenye wilaya zao!Huo ni udanganyifu!
Bahati nzuri wanawasomba wanachama wao wapiga kura wao tu. Kosa ni nini hapo? Badala ya kuwasifu kwa kuwaheshimisha wanachama wao na wapiga kura wao nyie makarakwinyo mnawaita waje kwa miguu na nauli zao kisha watoe tonetone ili viongozi wakanunue magari ya kifahafi.

Badala yake CCM inatafuta fedha kwaajili ya kuwasafirisha, kuwalisha, kuwaposho na kuwavisha wapiga kura wao. Hapo kwanini wasiwapigie kura?

CCM itakuwa madarakani kwa miaka 100 mfululizo kwakuwa inawajali na kuwaheshimu wapiga kura wao wakati wa uchaguzi. Inahakikisha wanachama wao wooote 100% wanapiga kura za asubuhi na mapema kabisa. Yaani siku ya kupiga kura watu wa kwanza kabisa kupiga kura kwenye vituo vyote ni wanaCCM. Ndiyo maana sishangai kusikia Samia kapata kura nyingi hata baada ya uchaguzi kukumbwa na vurugu za hapa na pale kuanzia saa 8 mchana.
 
Hahahaaa,mnawapa wali maharagwe na kanga ili wawaoigie kura,hiyo si rushwa?Zama za CCM ziko ukingoni maana wazee ambao ndio mtaji wa CCM wako wanaisha!Hapa namaanisha wazee ambao wanaamini Katika CCM ya Nyerere!Ila wazee wanaozeeka saivi wana ufahamu!
Utafiti ulionesha kuwa CCM Unapendwa zaidi na Wazee,Wanawake na watu wasio na elimu!
Tabaka la wajinga linapukutika,Sasa hivi Hadi vijijini wanajadili nchi inavyokwenda!
Huko mbeleni kutamu,bila mabavu na kutumia jeshi,CCM Haina maisha marefu!
 
Hata kama walisombwa, walipiga kura au hawakupiga kura
Hawakupiga,kura mil 32 ni uongo wa mchana kweupe!
Hili tusibishane maana taasisi mbali mbali zimetoa taarifa hiyo!Matokeo hayaakisi idadi ya waliojitokeza kupiga kura!
 
Watanzania tuko zaidi ya milioni 70, unashangaa nini watu milion 30 kupiga kura? Ambao hawakupiga kura wengi ni watoto under 18
 
Hebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli.

Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani nyingine ya kuiwezesha chadema kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili walete mabadiliko ya kweli?

Je, Ni njia gani nyingine (badala ya kushiriki uchaguzi) walikusudia kuitumia ili kuiondoa serikali ya CCM madarakani?

Je, hotuba yake hii hapa haikutosha kuitishia serikali ya CCM kuanguka?

Je, vurugu za October 29, 2025 ndio njia yao madhubuti mbadala (kuliko uchaguzi) ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani?

Je, Kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ili akajieleze mbele ya chombo cha haki ameonewa?

View: https://youtu.be/I4aMQbJJoO4?si=zUH3Wxdc3rLVTIpU

View: https://youtu.be/IFI32sm3uK4?si=_Tl8ib4x9iws0-YC

Kwani 2025 kulikuwa na uchaguzi? Tuonyeshe foleni za wapiga kura kwenye vituo vya kupigia kura ...Saa mia na wahuni wenzie wamejiweka madarakani kinyume..hakuna aliye wapigia kura wala kuwachagua ...COUNTDOWN IMEBAKI MIEZI 16 TU WATAANZA KUJUA UZITO WA DAMU ZA WAZALENDO WALIZO MWAGA.
 
Watanzania tuko zaidi ya milioni 70, unashangaa nini watu milion 30 kupiga kura? Ambao hawakupiga kura wengi ni watoto under 18
Nonsense,tumia akili Yako!Nilitegemea uniambie waliojiandikisha kupiga kura ni idadi ya watu kadhaa ndio ulinganishe na hizo kura mil 32 alizopata Sa100!
 
Hebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli.

Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani nyingine ya kuiwezesha chadema kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili walete mabadiliko ya kweli?

Je, Ni njia gani nyingine (badala ya kushiriki uchaguzi) walikusudia kuitumia ili kuiondoa serikali ya CCM madarakani?

Je, hotuba yake hii hapa haikutosha kuitishia serikali ya CCM kuanguka?

Je, vurugu za October 29, 2025 ndio njia yao madhubuti mbadala (kuliko uchaguzi) ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani?

Je, Kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ili akajieleze mbele ya chombo cha haki ameonewa?

View: https://youtu.be/I4aMQbJJoO4?si=zUH3Wxdc3rLVTIpU

View: https://youtu.be/IFI32sm3uK4?si=_Tl8ib4x9iws0-YC

Mnaonaje mkiwaua wapinzani wote ili mburudike na nafsi zenu?
 
We zipuuze tu hizi sababu kwamba hazipo. Hebu jichanganye. Hukuwepo wakati albino wakipotea, wakikatwa viungo? Hukuwepo wafanyabiashara ya madini wakiuliwa?

Kwenye kulinda dola kelele zote zitapuuzwa. Mama mkanye mwanao jr.
Chukueni bunduki tu hamna jinsi hamna ushawishi wowote dola mnayolinda haipo semeni mnajilinda wenyewe dola ishakaa mbali na mwananchi dola imekuwa adui mkubwa kwa mwanachi!
 
Hahahaaa,mnawapa wali maharagwe na kanga ili wawaoigie kura,hiyo si rushwa?Zama za CCM ziko ukingoni maana wazee ambao ndio mtaji wa CCM wako wanaisha!Hapa namaanisha wazee ambao wanaamini Katika CCM ya Nyerere!Ila wazee wanaozeeka saivi wana ufahamu!
Utafiti ulionesha kuwa CCM Unapendwa zaidi na Wazee,Wanawake na watu wasio na elimu!
Tabaka la wajinga linapukutika,Sasa hivi Hadi vijijini wanajadili nchi inavyokwenda!
Huko mbeleni kutamu,bila mabavu na kutumia jeshi,CCM Haina maisha marefu!
Kupewa kofia, scuff, t-shirts ndio haki ya mwanachama mpiga kura. Hata huko nchi za Magharibi haya yapo. Kofia za MAGA (make america great again) zimegawiwa tu kwa wana republicans. Shida yako nabishana na mbumbumbu.
 
Au sio,ndio yale mambo ya Takrima!
 
Back
Top Bottom