Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu.
Hii kazi mungu ni samahee
Naomba viongozi wa ccm ambao ni wakatoliki kama Philipo mpango na wengine siku ya kuwaombea waliouwa na utawala wa ccm tarehe 29/10/2025.
Tunataka wasome masomo yote tafadhali nina hakika Mungu atakujibu
Kwanza tunaombea marehemu,pili tunaombea wote walio ua hao watoto wetu Mungu atende atakavyo.
Iko hivi,baada ya maporomoko ya Hanang 2023,wadau mbalimbali wakishirikiana na serikali walitoa misaada mbalimbali.Benki ya Dunia kwa maelezo ya baadhi ya viongozi ilitoa takriban sh billion nne kujenga madaraja kwenye mto wa mafuriko na kuupanua mto.Cha ajabu ccm imejenga madaraja manne TU...
Hebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli.
Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani...
Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,
Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa...
CHADEMA imeendelea kutoa matamko kwenye mikutano kuwa mmeuza sehemu za nchi na kuwapa Waarabu . Je, ni mbali na mkataba halali wa bandari?
Kama Heche anapotosha basi serikali ituweke wazi wananchi wake.
Tunaomba kila kinachosemwa wahusika wajibu kwa hoja.
Tujue kweli au uwongo ni upi
Asante
kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi.
Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
bandari
ccm
code
hisabati
ili
jezi
kiingereza
kompyuta
kuiba
kuiba kura
kura
maadili
masomo
mbovu
mkataba
msingi
sana
serikaliserikaliyaccm
shule
shule za msingi
ufanisi
vipi
vizazi
wao
wenye
Wakuu,
Kuna suala limekuwa likichanganywa hapa hivi maridhiano ni kati ya serikali ya CCM na vyama vya upinzani? au ni kati ya Serikali ya CCM na wananchi, katika mambo ambayo yanatakafaklisha sana
Nawasilisha
Nilimsikia Waziri mkuu mwigulu nchemba akisema watumishi wa umma wajibane na kupunguza matumizi kwakua tunajiandaa kupokea zaidi ya wanafunzi milioni 3 mwakani kidato Cha kwanza. Sasa najiuliza hivi tuko sawa kwenye hili la kubana matumizi ikiwa hii leo makamu wa rais anakutana hotelini huko...
Jina Ramadhan Igwondu (au wakati mwingine likiandikwa kama Ramadhan Ighondo) linajulikana nchini Tanzania likihusishwa zaidi na matukio mawili makuu:
Kashfa ya Kutekwa kwa Dr. Steven Ulimboka (2012): Jina hili liligonga vichwa vya habari na kujadiliwa sana kwenye majukwaa ya kijamii kama...
Habar,
Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani,
Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya...
Mtu anapata uthubutu wa kudai anaweza kukuombea hadi ukafutiwa kesi, tunaona ni sawa na mabango yanawekwa barabarani?
Taifa letu ni kama halina uongozi. Wote Serikalini mnaona ni sawa hii? Tuweke matangazo similar to this mtaruhusu????
Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?
Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
Kwa lugha nyepesi tu ni kwamba CCM hawezi kuongea lolote bila kuitaja Chadema.
Mfano tumeona kuhusu maridhiano mpaka sasa wanaumia kwa nini Chadema haijakubali.
Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa.
Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
Hii nchi ni mungu na shetani mpaka sasa wanatujadili kama walitukosea kutuchezesha kama walivyo kwenye majukumu yao.
Yani kwa sasa serikali ya CCM wamejikita na ITV ndio wanaona pazuri pakuweka propaganda zao na mambo yao.
Kwa nini wajikite na ITV Sio TBC
Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??.
Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??.
Mwigulu huna akili hata kidogo kweli??
Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
Mchambuzi wa Masuala ya Diplomasia na Utatuzi wa migogoro @fran_ceo anaeleza kuwa zuio la Mikutano ya Kisiasa katika kipindi hiki, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha Maandamano yanayoweza kupelekea ghasia.
Soma Pia: Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa...
Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like.
Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.