Serikali ya CCM Leo wamekaa kikao Melia hotel Vienna huku tukijitahidi kubana matumizi ya Serikali. Je hii ni sawa?

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,682
Reaction score
39,811
Nilimsikia Waziri mkuu mwigulu nchemba akisema watumishi wa umma wajibane na kupunguza matumizi kwakua tunajiandaa kupokea zaidi ya wanafunzi milioni 3 mwakani kidato Cha kwanza. Sasa najiuliza hivi tuko sawa kwenye hili la kubana matumizi ikiwa hii leo makamu wa rais anakutana hotelini huko Vienna je hakuna ubalozi au hoteli za kawaida?

Melia ni hoteli za ghali sana duniani kwa sasa kwa nchi kama Tanzania kutumia hela za walipa Kodi hasa katika kipindi hiki waziri mkuu ametuambia tubane matumizi.

Ni tafakari tu nimeitoa
HSMEZ78XcAA9eTC.jpg
 
mjadala ukiendeshwa eneo lenye oxgen na usalama wa kutosha kwa viongozi wa nchi sioni tatizo liko wapi ndugu
 
Acha fujo,

Hizo ni side meetings za vikao, mostly mkienda kwenye vikao vya kimataifa wanaandaa rooms kwa ajili ya side/Private meetings za viongozi/delegates

Najua viena kuna kikao cha atomic kinaendelea, possible delegation hii ilienda kwenye kikao hiko, na wakaomba private room kufanya consultations between themselves kabla ya partner consultations.

These is normal in international meetings
 
Ukisikia kitu kubana matumizi hiyo haihusu viongozi wa serikali.
Hiyo inatuhusu kajamba nani huku kazuramimba.
 
Acha fujo,

Hizo ni side meetings za vikao, mostly mkienda kwenye vikao vya kimataifa wanaandaa rooms kwa ajili ya side/Private meetings za viongozi/delegates

Najua viena kuna kikao cha atomic kinaendelea, possible delegation hii ilienda kwenye kikao hiko, na wakaomba private room kufanya consultations between themselves kabla ya partner consultations.

These is normal in international meetings
Sidhani unaweza kuomba ufanye kikao Bure ukakubaliwa. Tunae mjomba Gani huko Vienna aliyetulipia ukumbi?
 
Atomic hii ya bombs au? Tz na Atomic wapi na wapi, pia wanahitaji delegation kubwa namna hiyo Mkuu.. tuseme room wamepewa bure, gharama za safari, malazi, per diem, miscellaneous etc lazima bahasha zitembee hapo.
 
Sidhani unaweza kuomba ufanye kikao Bure ukakubaliwa. Tunae mjomba Gani huko Vienna aliyetulipia ukumbi?
Trust me, side meetings ni jambo la kawaida,

Mara ya kwanza kuliona ilikuwa TICAD7, Wakati wa kikao cha Japan na Africa, nilienda na issue zangu, nikaunganishwa kwenye delegates wa Tanzania katika vikao vya uwekezaji,

So rooms zilikuwa zipo za kutosha, wajapani wakijadilinana na watamzania kuhusu uwekezaji wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom