Serikali ya CCM ilikuwa na mpango wowote wa kujenga refinery ya mafuta?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?

Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?

Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
 
nonsense 🐒
 
Bomba la mafuta lilianza kabla au baada ya dangote kuja?
 
Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?

Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?

Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
Huko CCM niambie mtu mmoja mwenye akili ya Strategic Economical Thinking!
Huko wamebaki machawa tu.
 
Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?

Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?

Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
Hivi CCM ina Think Tank?
 
CCM ni kama mwanzi inakwenda kwa jinsi upepo unavyovuma!...
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Chama bendera fuata upepo, miaka hii, how pathetic
No wonder incompetence kwenye uongozi wa hii nchi inatisha all because wanafuata upepo si dira wala malengo ya muda mrefu
 
Dira inafuatwa lakini doesn't limit kufanya mengine endapo kama ni mema na yanatija kwa taifa!...
 
Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?

Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?

Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
Nadhani kuwa na mpango ama kutokuwa na mpango si jambo la maana sana kulijadili. Jambo la msingi la kuzingatia ni kama ujenzi wa hiyo refinery una tija kwa Taifa ama la.
Nadhani upembuzi yakinifu ujikite kwenye economic benefits za hiyo refinery. Kwani hukujifunza juu ya reallocation of resources?
Kwa kifupi hatuchagui rangi ya Paka, tunachoangalia ni uwezo wake wa kukamata Panya ndani ya nyumba yetu.
 
Ndani ya dira yapo mengi njiani..yataibuka na correction mbali mbali,dira si msahafu au biblia,linapotokea jema tunafanya!..
Hizo ni story za kuzunguka mbuyu oh kuna mengi njiani sijui nn

Aint no such thing. All gov inafuata ni upepo wa kisiasa nothing more
 
Nadhani kuwa na mpango ama kutokuwa na mpango si jambo la maana sana kulijadili. Jambo la msingi la kuzingatia ni kama ujenzi wa hiyo refinery una tija kwa Taifa ama la.
Nadhani upembuzi yakinifu ujikite kwenye economic benefits za hiyo refinery. Kwani hukujifunza juu ya reallocation of resources?
Kwa kifupi hatuchagui rangi ya Paka, tunachoangalia ni uwezo wake wa kukamata Panya ndani ya nyumba yetu.
Kuna haja gani ya kuwa na ilani kama inaweza kusahau kuweka mradi wa dola bilioni 20?
 
Ndani ya dira yapo mengi njiani..yataibuka na correction mbali mbali,dira si msahafu au biblia,linapotokea jema tunafanya!..
Hii ilani ya chama chao imetengenezwa mwaka jana tu na leo hii wamegundia wamesahau mradi wa $bilioni 20!
 
Kuna haja gani ya kuwa na ilani kama inaweza kusahau kuweka mradi wa dola bilioni 20?
Mipango ya Taifa haitegemei document moja pekee, ndiyo maana unakuta tuna Dira 2050 na kuna Foreign Policy. Hivi vyote husaidia kuhakikisha nothing left behind and supporting each other for State prosperity.
 
Kama ulikuwa hujui, Ilani za vyama vyetu huwa zinafanyiwa copy and paste kutoka uchaguzi mmoja kwenda mwingine zikibadilishwa tarehe tu. Uhitaji tulikuwa tunaujua, lakini ubunifu wa jinsi ya kuanza ndio ulikuwa zero. Hadi Dangote na jirani walipoanza kuweka hesabu mezani, ndio na sisi tukakurupuka.

Huu mtindo wa kusubiri hadi mtu mwingine aonyeshe fursa ndipo na sisi tuchanganyikiwe sio sahihi hata kidogo, lakini ndio standard operating procedure yetu.
 
Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?

Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?

Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
Nakuhakikishia haitajengwa
 
Back
Top Bottom