Salaam jamiiforum.
Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo.
👉Pombe.
Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote.
👉 Mapenzi.
Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
Sina mpango wa kujenga katika maeneo ya kifahari yanayoishi watu wenye kipato cha juu sana. Ningependelea kujenga maeneo ya watu wa kipato cha kati, yenye makazi ya kawaida na nyumba za milioni 40 hadi 100.
Pia, ningependa eneo hilo liwe na jamii mchanganyiko, linalokaliwa na watu wa makundi...
"
Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao.
Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
Wakuu salama!
Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
TUSIRUHUSU TOFAUTI ZETU ZITEKETEZE KILE TUNACHOPASWA KUKILINDA KWA PAMOJA.
Oktoba 29 iwe kumbukumbu inayotufundisha, si alama ya uharibifu tunayojivunia, Tanzania ni yetu sote, tusiiache hasira ya siku moja iharibu matumaini ya miaka mingi.
#Tumechaguaamani
#Haturudiitena
#Tanzanianiyetusote...
Habari ya kuyimuka Wadau,
Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani.
Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
Habarini!
Nadhani kwa umri ninaweza kuwa mkubwa kidogo kuliko RA, ambaye ni mdogo wangu. Lakini nina jambo ambalo ningependa kuwashauri wale wote walio tayari kushaurika, hasa vijana wanaojitafuta na wanaotaka kufika mbali kimaisha.
RA ni mtu smart, ingawa kama binadamu mwingine yeyote anaweza...
Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo
Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2
Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye...
Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto.
Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
Kupitia Mbowe Chadema tunapaswa kujifunza tu. Watu hawapaswi kabisa kumwamini mtu tena. Inapaswa kuandika "BIBLIA YAKE" kuwa na viapo vyake, Na Katekisimu zake za kufuata Sio kutembea na upepo na kauli za viongozi.
Sasa naijua siasa vizuri. Ndio maana nafsi ya Kwanza inabaki hapa ya pili...
Habari Wakuu,
Nimeona niulize hili swali maana wengine bado tupo kwenye nyumba za kupanga mara wengine kwa wazazi lakini purukushani zinatufosi tuwaze au hata tayari tumejipata tunataka kuanza kujenga. Pia Naamini wapo ambao tayari wapo kwenye nyumba zao hivyo wana uzoefu sana katika masuala ya...
Katika huo mpango wa CCM wa uchumi wa $ Trillion 1 kufikia mwaka 2050 wana mpango wowote wa kujenga daraja la barabara ya juu (viaduct) Kitonga au wataendelea na mbinu za kienyeji tu za kuchimba ukuta na police wa pikipiki.
Kutokana na ufisadi unaoendelea nchini Kenya wa kuongeza gharama ya miradi ili kujipatia 10% itawachukua miaka 50 ijayo kujenga SGR yenye akili kama ya Tanzania ambayo ina hadhi Sawa na za Ulaya.
SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa.
SGR...
Huwa nikienda kijijini kwetu huwa ninalala kwenye nyumba ndogo ya nyasi pembeni ya nyumba kubwa ya familia. Ile nyumba ya ndogo iliyoezekwa kwa nyasi haina sakafu na inaingiza kitanda kidogo. Yaani ukikaa kitandani kunabaki nafasi ndogo sana. Zamani kulikuwa na kitanda cha kamba ila kwa sasa...
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi.
Akizungumza katika kikao...
Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee.
Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa...
1. Wabena
2. Wahehe
3. Wasukuma
4. Wakurya
5. Waha
Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la...
bila
familia
kifo
kuchepuka
kudumu
kujengakujenga familia
kulinda
makabila
mali
ndoa
siri
tahadhari
tamaa
umakini
uvumilivu
wanawake
waume
wavumilivu
zao
Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku......
Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni ngumu sana kujenga tabia njema. Ni rahisi sana kujenga tabia ya ulevi lakini ni ngumu sana kujenga...
Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:-
"Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.