Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu
Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu
Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha?
Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR).
Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa fedha kwa ajili ya mradi huo kuamua kujitoa.
Ujenzi wa reli ya kisasa inayokusudiwa kuunganisha...
Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Mbowe hawezi kushinda tena.
Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake
Lema kaitisha press moja tu...
Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo.
Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi.
Kusoma zaidi hoja hiyo...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora.
Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
RAIS MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA ZA WANANCHI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewathibitishia Wananchi kuwa Serikali itaendelea Kujenga Nyumba za Kisasa Maeneo yote ambayo yana Nyumba zilizo Chakavu kwa lengo la kuwapatia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana.
Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar
Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa Foundation Zahra Issa Kassim wakati wa ugawaji wa vifaa vya skuli kwa watoto yatima huko Mpendae Wilaya ya...
Katikati ya tetesi za mapendekezo ya watumishi kustaafu wakiwa na miaka 65 ili kuiokoa mifuko hii ya hifadhi ya jamii., mifuko hii ambayo kimsingi ni mahututi, NSSF wanakuja na hoja ya kujenga hotel ya nyota tano Dodoma.
Ni ujinga mwingine.
Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya.
Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme.
=================
Baraza la Mawaziri Jumanne, Desemba 17, limeidhinisha ujenzi wa mfumo wa Clean Bus...
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo
Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut
Mfano TRC wanataka kununua engine za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.