Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate

Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza kujenga unavyojisikia hakuna kitu kama hicho

Baada ya makampuni kujenga nyumba watawauzia wananchi kwa cash au mortatage (mkopo)

Kwanini makampuni wajenge nyumba na sio watu binafsi
  • Ukiwapa watu binafsi hawawezi kumaintain standard mfano mtu binafsi anaweza jenga nyumba akafika katikati kaishiwa fedha hataweza fuata standard na akikumbushwa atahisi anaonewa ila kampuni itamaintain standard mwanzo mwisho
  • Wewe utajenga nyumba kwa standard flani ila jirani yako atajenga chumba kimoja akiulizwa kwanini hafuati utaratibu anasema kwa jeuiri hiki ni kiwanja changu usinipangie matokeo yake anaharibu uzuri wa mtaa
Kikubwa nyumba zinazojengwa na makampuni serikali ihakikishe zinakuwa ni bei nafuu hasa kwa tabaka la chini na lower middle class ambao ni majority Tanzania
  1. Nyumba za hali ya chini zisizidi million 20 hii ni debate
  2. Nyumba za lower middle class zisizidi sh million 35 hii ni debate
Nyumba za matajiri na upper middle class hizo serikali haihusiki nazo

Faida ya kujenga nyumba na makampuni
  1. Miji yetu itapendeza kwa sababu nyumba zitakuwa na standard
  2. Barabara za mitaani zitakuwa na sehemu ya watembea kwa miguu
  3. Mtu hatajiamulia tu kujenga frem, au kubadilisha matumizi ya nyumba na kuwa bar au guest au kufungua garage
Kwa hiyo kwenye kila budget serikali iwe inaforecast idadi ya nyumba zitakazojengwa kwenye mwaka husika wa fedha mfano mwaka huu wa fedha wa 2027/2028 serikali itoe kibali kwa makampuni ya real estate kujenga nyumba laki 1

Lengo ni kuacha uholelea ambao umekithiri nchini na unachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu uzuri wa nchi

Nikiwa Rais wa Tanzania watu binafsi hawatarusiwa kujenga nyumba kiholela bali hio kazi watapewa makampuni
 
Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate

Baada ya makampuni kujenga nyumba watawauzia wananchi kwa cash au mortatage (mkopo)

Kwanini makampuni wajenge nyumba na sio watu binafsi
  • Ukiwapa watu binafsi hawawezi kumaintain standard mfano mtu binafsi anaweza jenga nyumba akafika katikati kaishiwa fedha hataweza fuata standard na akikumbushwa atahisi anaonewa ila kampuni itamaintain standard mwanzo mwisho
Kikubwa nyumba zinazojengwa na makampuni serikali ihakikishe zinakuwa ni bei nafuu hasa kwa tabaka la chini na lower middle class ambao ni majority Tanzania
  1. Nyumba za hali ya chini zisizidi million 20
  2. Nyumba za lower middle class zisizidi sh million 35
Nyumba za matajiri na upper middle class hizo serikali haihusiki nazo
Yaan hii nchi inateketea mmeshaanzisha makampuni ya ujenz huko mnataka kuwanyonya watu Kwa ujinga wenu !!
 
Naunga mkono hoja, kwanza ujenzi binfasi ni gharama sana na too ambitious unnecessary. Yaani mtu unajenga lijumba kubwaaa,gharama kubwa, matumizi kidogo. Lakini iwe kwa maeneo mahsusi tu, huko vijijini waendelee tu.
 
Mfano mzuri ni hapo Dodoma.
Real estate wanatakiwa waweke mifumo ya kisasa ya makazi na mipango miji.
Mifumo ya maji safi, maji taka , njia za mawasilioano , barabara za zege. Mabomba ya gesi ndani ya nyumba.

Pia hatutaki frem kwenye hayo maeneo.
 
Wazo sio baya ila halina ulazima. Cha muhimu mamlaka husika zihakikishe upimaji wa viwanja unafanyika kwa kasi na usahihi huku wakihakikisha wanatoa vibali vya ujenzi kulingana na matumizi sahihi ya maeneo. Hizi kampuni za real estate ni za kuhuni zimejaa upigaji. Nyumba ya 40m utaambiwa 150m.
 
Naunga mkono hoja, kwanza ujenzi binfasi ni gharama sana na too ambitious unnecessary. Yaani mtu unajenga lijumba kubwaaa,gharama kubwa, matumizi kidogo. Lakini iwe kwa maeneo mahsusi tu, huko vijijini waendelee tu.
Yaani mtu na pesa zake anataka kujenga hekalu lake nafsi yake ifurahi hata kama anaishi mwenyewe humo nyie mnaumia.
 
IMG_1621.jpeg
 
Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate

Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza kujenga unavyojisikia hakuna kitu kama hicho

Baada ya makampuni kujenga nyumba watawauzia wananchi kwa cash au mortatage (mkopo)

Kwanini makampuni wajenge nyumba na sio watu binafsi
  • Ukiwapa watu binafsi hawawezi kumaintain standard mfano mtu binafsi anaweza jenga nyumba akafika katikati kaishiwa fedha hataweza fuata standard na akikumbushwa atahisi anaonewa ila kampuni itamaintain standard mwanzo mwisho
  • Wewe utajenga nyumba kwa standard flani ila jirani yako atajenga chumba kimoja akiulizwa kwanini hafuati utaratibu anasema kwa jeuiri hiki ni kiwanja changu usinipangie matokeo yake anaharibu uzuri wa mtaa
Kikubwa nyumba zinazojengwa na makampuni serikali ihakikishe zinakuwa ni bei nafuu hasa kwa tabaka la chini na lower middle class ambao ni majority Tanzania
  1. Nyumba za hali ya chini zisizidi million 20
  2. Nyumba za lower middle class zisizidi sh million 35
Nyumba za matajiri na upper middle class hizo serikali haihusiki nazo

Kwa hiyo kwenye kila budget serikali iwe inaforecast idadi ya nyumba zitakazojengwa kwenye mwaka husika wa fedha mfano mwaka huu wa fedha wa 2027/2028 serikali itoe kibali kwa makampuni ya real estate kujenga nyumba laki 1

Lengo ni kuacha uholelea ambao umekithiri nchini na unachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu uzuri wa nchi

Nikiwa Rais wa Tanzania watu binafsi hawatarusiwa kujenga nyumba kiholela bali hio kazi watapewa makampuni
Mkuu utawacganganya watu,
Serikali iende kijijini Bukene huko ikawajengee wakulima makazi, umeona wapi(In Bwege's voice)
 
Back
Top Bottom