binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

    Salaam jamiiforum. Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo. 👉Pombe. Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote. 👉 Mapenzi. Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
  2. min -me

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jf😅

    Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅 Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu...
  3. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Maslahi binafsi, itikadi na mikakati ya kisiasa: Kipi hasa huchochea wanasiasa kuhama kambi?

    Wasalaam, Katika medani za siasa zetu hapa Tanzania, kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine limekuwa si jambo la kushtua tena. Lakini kinacholetwa maswali mengi ni nyakati zenyewe kete hizo zinaposogezwa. Tukio la hivi karibuni la Alute Mughwai Lissu, kaka yake Tundu Lissu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kuacha ualimu serikalini na kuhamia chuo kikuu binafsi

    Habari wadau wa JF. Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je...
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?

    Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi? Hiyo kampuni ipo kilosa inaitwa CHINA ESTATE FARM NAOMBA KUELEWESHA WANAWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WAO KAZI WANAWAAJILI WAFUNGWA NA ZILE HELA ZA MSHAHARA ANACHUKUA NANI???
  6. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Taarifa Binafsi za Wananchi zinasambaa Mtaani: Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) wanafanya nini?

    Kumekuwa na wimbi la taarifa binafsi za wananchi, zikiwemo majina, namba za simu na taarifa za wenza na wanafamilia, kusambaa kupitia karatasi zinazotumika kufungashia chipsi na vitafunwa. Nyaraka hizi zinadaiwa kutoka hospitalini, taasisi za mikopo, shule, vyuo, stationaries na ofisi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali iangalie, Sekta binafsi kuna changamoto nyingi zinazowanyonya Wafanyakazi

    Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi. CHANGAMOTO KUBWA Mikataba ya ajira: Wafanyakazi hupewa mikataba ya mwaka mmoja inayorudiwa kwa kipindi cha...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Benki ya dunia kulenga mitaji binafsi,kufungua mitaji Afrika

    Benki ya Dunia imeweka msisitizo katika kuhamasisha mitaji ya sekta binafsi ili kuchochea uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana barani Afrika, kupitia biashara ndogo na za kati, madini na maendeleo ya viwanda. Mkazo huo umejadiliwa katika Mkutano wa Magavana wa Nchi Wanachama wa Benki...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Kampuni za Habari au Waandishi wa Habari Huru kwa Ushirikiano wa Kimkakati (Strategic Partnership).

    wakuu kwema, tunatafuta kampuni za habari au waandishi wa habari huru wenye nia ya kushirikiana nasi kimkakati katika kuendeleza teknolojia, habari na usambazaji wa maudhui ya kidijitali. Tunakaribisha wenye nia ya kuchunguza fursa za ushirikiano. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kero ya Maji: Je, Tuzipe Sekta Binafsi Mamlaka ya Usimamizi?

    Licha ya jitihada za serikali,wananchi wengi bado wanakabiliwa na tatizo la upatikanaji wa maji. Je, umefika wakati taasisi za usambazaji wa maji zisimamiwe na sekta binafsi ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na kuboresha huduma? Maoni yenu ni yapi?
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania kufuta stendi binafsi jijini. je faida au hasara ndo nyingi?

    salamu wana bodi leo pia nimetafakari maamuzi ya mkuu wa mkoa kuhusu stendi. kama ilivyo ada tunatarajia kuona idadi ya mapato endelevu imeongezeka stendi,waharifu na wahamiaji halamu wanaokamatiwa magufuli na kushtakiwa mahakamani na mapato ya kodi au ushuru kwa serikali yameongezeka na...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ushauri Usioombwa: Kuingilia Maisha Binafsi

    Wale wachambuzi wa maisha ya watu, wanaopenda kuingilia maamuzi binafsi ya watu kwa ushauri usiohitajitaka wala kuombwa wanasema, “Kuwa na angalau kaulevi kamoja. Inasaidia.” “Mtu gani unakuwa na maisha perfect and you have everything under control? Unaishije? Pombe zimekushinda. Kahawa nayo...
  15. feyzal

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mgomo wa mabus na Malori leo ndo ingependeza wenye gari binafsi kufanya road trip kabambe

    Salaam wakuu. Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima mapafu chuma yako bila ya usumbufu wa manjagu. Nawasilisha
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RAIS DKT SAMIA APIGANIA SEKTA BINAFSI.

    📌Ndani ya nchi aipendelea fursa, saaa mwelekeo ni hadi nje ya nchi. 📌Mwigulu asema amewasisitiza ishiriki kwenye mipango ya serikali 📌Yatengenezewa mazingira hadi Qatar, nia ni iwajibike Dira 2050
  17. Nsennah

    JamiiForums Tanzania KERO Babati: Malalamiko kuhusu kukataliwa kwa noti zilizounganishwa na 'seal tape' na changamoto za huduma za mafuta

    Kumekuwa na utaratibu wa baadhi ya wafanyabiashara, hususan wamiliki wa vituo vya mafuta na hata baadhi ya taasisi za kifedha, kukataa kupokea noti ambazo zimeunganishwa au kutengenezwa kwa kutumia 'seal tape'. Nilishuhudia tukio katika Tawi la NMB Babati, ambapo mteja mmoja, ambaye alikuwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyuo vya Afya vya binafsi vinatakiwa kuweka mkazo kwenye ubora wa elimu kuliko mapato

    Vyuo vya kati vya afya vinavyosimamiwa na NACTVET, hususan baadhi ya vyuo binafsi, vinapaswa kuweka mkazo zaidi katika ubora wa elimu na mafunzo ya wataalamu wa afya kuliko maslahi ya kibiashara. Nguvu na rasilimali zinazotumika kuboresha miundombinu na kutangaza vyuo ili kuvutia wanafunzi...
  19. lord atkin

    JamiiForums Tanzania AI: Mapenzi ya jinsia moja siyo jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi

    Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja: Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na mapenzi ya jinsia moja) sio jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi. Wataalamu wa afya ya akili na...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
Back
Top Bottom