HOJA Kero ya Maji: Je, Tuzipe Sekta Binafsi Mamlaka ya Usimamizi?

HOJA Kero ya Maji: Je, Tuzipe Sekta Binafsi Mamlaka ya Usimamizi?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Licha ya jitihada za serikali,wananchi wengi bado wanakabiliwa na tatizo la upatikanaji wa maji.

Je, umefika wakati taasisi za usambazaji wa maji zisimamiwe na sekta binafsi ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na kuboresha huduma?

Maoni yenu ni yapi?
 
Back
Top Bottom